Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
“Miaka ya nyuma siku kama ya leo kwa upande wetu sisi Simba usingizi unakuwa wa tofauti na muda mwingine mnaweza msilale kwa sababu mganga wa mwisho alikuwa anaondoka saa 9 usiku”-Amri Kiemba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe na kiemba nani anayeyajua yaliyopo simba?Kuna watu wanajishushia heshima yao. Labda pengine ugonjwa wa akili umempata
Hakuna kujishushia heshima kubwa kama kuchoma mavumba kule South Africa.Kuna watu wanajishushia heshima yao. Labda pengine ugonjwa wa akili umempata
Loser na ndiyo maana hakuwa na mafanikio yoyote katika uchezaji wake“Miaka ya nyuma siku kama ya leo kwa upande wetu sisi Simba usingizi unakuwa wa tofauti na muda mwingine mnaweza msilale kwa sababu mganga wa mwisho alikuwa anaondoka saa 9 usiku”-Amri Kiemba
View attachment 3263027
George masatu alishalielezea hili,final ya caf cup,hawakulala vizuri,usiku wa manane kulogaKuna watu wanajishushia heshima yao. Labda pengine ugonjwa wa akili umempata