Ongezea vikorokoro ukuze wateja wako.
Weka huduma ya
1. mihogo ya kukaanga kuanzia kipimo cha sh 500+
Nb: iwekee maujanja ya ukwaju,Chilli na chachandu.
2. Ndizi mshale za kukaanga na kuchoma.
-kipimo kuanzia sh.500+
Nb: chachanda&chilli/tomato ni muhimu.
3.Mishkaki ya kukaanga ya Bei chee.
Hapa unachoma mishkaki ya miwili/tsh.500 kwa ajili ya watu kurefresh.
Unakata vipande vidogo vidogo sana angalau vitatu kila stick.
Mishkaki wengi sahv hawauzi/hawanunui kutokana na Bei kubwa ya nyama,
Ila wewe ikate vipande vidg vidg uweze kuteka soko LA mishkaki.
Kila mwenye senti from sh.200 aweze kufurahisha tu mdomo.
NB: Usisahau pilipili,chachandu
Aisee,utapiga sana ela.
Hizi menu sahv, sahv zNAPENDWA SANA SKUHIZI.
Hata sisi tusiopenda kula chips, tunajua tukipita kwa flan kuna kitu tofauti tutapata.
KUNA MPWA WANGU ANAFANYA HII BIASHARA YA CHIPS KWA STYLE HIYO.
KIUKWELI,
NAONA JINSI ANAVOJAZA UMATI PALE KIMARA