Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante nimeipata.
Bei inategemea na intensity yake ya kusikia mawimbi ila inaanzia kwenye laki 1 mpaka laki 7 hivii,Wadau.kuna ndugu yangu amepata tatizo la usikivu,ni baada ya kuumwa sana maralia.
hivyo ni nauliza humu bei elekezi ya hivyo vifaa vya kumsaidia kusikia na jinsi atavyo vipata.nawasilisha.
Kuna jamaa angu aliugua malaria alikaa almost mwezi mzima hasikii lakini mwisho wa siku alirudi ktk hali ya kawaidaWadau.kuna ndugu yangu amepata tatizo la usikivu,ni baada ya kuumwa sana maralia.
hivyo ni nauliza humu bei elekezi ya hivyo vifaa vya kumsaidia kusikia na jinsi atavyo vipata.nawasilisha.
Kwema mkuu? Mimi nipo Arusha.usinunue hicho kifaa bila ushauri wa wataalamu . uko mkoa gani nikuelekeze sehemu ya karibu uonane na wataalamu na ikiwezekana unaweza kupatiwa bure huduma na kifaa hicho