Kifaa cha usikivu wa (masikioni)

Kifaa cha usikivu wa (masikioni)

Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
892
Reaction score
683
Wadau habarini za asubuhi..naomba niende kwenye mada husika hapo juu..nina mdogo wang alikuwa mzima kabisa utotoni lakin kwa sasa hasikii baada ya kupima muhimbili wakatwambia kuwa hawezi kusikia tena ina bidi anunuliwe kifaa man ni mwanafunzi..kifaa chenyewe tumeenda kuuliza nauzwa milioni moja n la laki sita kwa vyote na kimoja sh..850000..naomba kupata msaada kama kuna namna yoyte ya kupata kifaa hicho kwa garama nafuu napenda nipate na ushauli katika hili jamani na mwanafunzi anajitaidi sna darasani na ni wa kike..japo nimesikia kifaa hicho kina kelele sna tunaweza kukipata na bado asikivae kwa kelele zake..naomba msaada wa mawazo katika hili kwa mwenye maarifa zaidi...ahsanten
 
Tafuta kwenye website au kama una ndugu nje anaweza kupata cheaper brandy
 
Hearing Aid.. Vipi huyo mtoto ameptwa na tatizo kwa madikio yote au moja?
 
Mkuu mimi nilinunuliwa hearing aid 400,000 kwa ajili ya sikio moja kipindi nasoma. Nilipima pale regency years back wakanirefer duka linaitwa 'Sakina' kama sikosei.
 
Tafuta kwenye website au kama una ndugu nje anaweza kupata cheaper brandy
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndugu wa nje dada angu mhm nawasikiaga tu..sina yani ningepata ingekuwa msaada mkubwa lakini ndio hivyo tena..
 
Mkuu mimi nilinunuliwa hearing aid 400,000 kwa ajili ya sikio moja kipindi nasoma. Nilipima pale regency years back wakanirefer duka linaitwa 'Sakina' kama sikosei.
Nitakutafuta mkuu kwa maelezo zaidi
 
Yote mkuu,ila moja linasikia tofauti la lingine
Sawa hapo wanaita Asymmetric hearing loss!
Ila Hearing Aids ina msaada kidgo sana kwa walengwa
Ile mashine wakati mwengine sauti haieleweki!! Uko wapi nnazo mashine hizo mbili mapya kabisa nilipewa na Star key Foundation shirika la Marekani
 
Nipo morogoro..
 
Nipo morogoro..
Sawa nawezakupa kwa kipimo cha utu!
NB mashine yeyote lazima utampeleka nayo kwa Audiologist kupima tena level ya usikivu wake ili mashine ifunguliwe na kureset kuendana na usikivu wake!
 
Bima ninayo mm mdogo wangu hana mkuu
Bima haihusiki kwa kitu cha kununua hata miwani.
Miwani ya kusoma pekee ndo anapewa muhusika 1 mmoja tu na si wategemezi!!

Miwani km ya kupunguza mwanga lazima ununue kwa ela zako mwenyewe!
 
Mkuu kama masikio ya mdogo wako yanapiga kelele sikushauli ununue mashine hizo maana utapoteza tu hela zako nina mdogo wangu alikuwa anasikia kama uyo wako ila masikio mdogo wangu anavyosema ni kuwa anasikia kelele masikioni tulimpeleka kupima wakadai anunue hizo machine tukanunua machine hizo laki saba alivyovaa machine kelele zikazidi ilibidi hasizitumie tena zile machine zina msaada kwa wale waliozaliwa hawasikii au wasio sikia kelele kwe masikio yao
 
Ahsante snaa mkuu..yeye masikio yake hayapigi kelele....sema hapo kwenye laki nane mkuu ndio shida...
 
Back
Top Bottom