Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,360
kwa UPS sio feasible,kukaa saa 24
1. zipo laptop zinazokaaa na chaji masaa 24, sema inategemea na matumiziNaomba kujua ni kifaa gani kama ni betri au ups ambacho kinaweza kunisaidia kutumia laptop yangu kwa muda wa saa 24 pale umeme unapokuwa umekatika, kitu kama ups ila kiwe na uwezo huo wa kukaa saa 24.
1. zipo laptop zinazokaaa na chaji masaa 24, sema inategemea na matumizi
2. zipo powerbanks za laptop ambazo zinazidi hadi 100wh unaweza tumia siku nzima kwa hivi vilaptop vya 15w.
zipo zinazochaji simu na laptop pamoja, nyengine zinakupa kabisa switch unachomeka tu chaja yakohizi power bank hivi unaweza itumia kuchajia simu mkuu au
inakua haiwezekani kwasababu ya output ya umeme unaotoka hapo?
hizi battery zake huwa zinakua na MAH ngapi? na kwa simu ya Mah 3500zipo zinazochaji simu na laptop pamoja, nyengine zinakupa kabisa switch unachomeka tu chaja yako
mfano kama hii ya Anker
ina Ac hapo ya kuchomekea plug ya kawaida na pia ina usb kuchaji vitu kama simu.
Hio nilioweka ni kubwa na zipo zenye uwezo wa kuchaji hadi mara 30 ama zaidi.hizi battery zake huwa zinakua na MAH ngapi? na kwa simu ya Mah 3500
hii power bank ina uwezo wakuichaji hii simu mara ngapi hadi yenyewe kuisha?
sio kubwa sana za kufanya ikawa nzito ukashndwa move nayo from place to place?
za simu naweza ingia nayo shamba nikakaa wiki nzimaHio nilioweka ni kubwa na zipo zenye uwezo wa kuchaji hadi mara 30 ama zaidi.
Sema zipo pia portable,
Na kama ni matumizi ya simu tu usinunue power bank za simu? Zipo za hadi 20,000 mah ambazo ni portable unaiweka tu mfukoni
Sijajua matumizi makuu, ila 3500mah inamaana unachaji kama mara 5 hivi. Pia itategemea na ukaaji chaji wa simu ya sasa.za simu naweza ingia nayo shamba nikakaa wiki nzima
sehemu isiyo na umeme kbs na nisikose chaji chief?
Matumizi makuu ni voice call tu hamna kingine mkuuSijajua matumizi makuu, ila 3500mah inamaana unachaji kama mara 5 hivi. Pia itategemea na ukaaji chaji wa simu ya sasa.
Kwa simu isio flagship pengine unaweza toboa.
Inatosha kabisa, na kama Ni voice hutumii whatsapp na apps nyengine.Matumizi makuu ni voice call tu hamna kingine mkuu
Nashukuru sana chief acha nione jinsi ya kupata 1Inatosha kabisa, na kama Ni voice hutumii whatsapp na apps nyengine.
Nashukuru kwa msaada wako!kwa UPS sio feasible,
UPS mathalan za APC, ukichukua ya 1000VA (800W) itachukua masaa yasiyozidi matatu kwa laptop, kabla umeme wake kukata ( UPS ina betri ndani)
laptop nyingi ni around 60-70W
mzee baba hapo ni jenereta ndio mkombozi