Solar
Generator
Battery zingine za Laptop yako
nunua mabattery ya laptop yako kwa kadri uwezavyo na utakavyo,Battery jipya linaweza kaa 3hrs,ili uwe na uhakika 24 hrs unahitaji uwe na mabattery 8..
unaweza ukafunga macho ukaingia dukani wanapouza battery za laptop kwa bei ya jumla then chukua battery zako 10 kwa hasira😛 utazipata kwa bei nzuri kwasababu utanunua kama mfanyabiashara,Basi ukishanunua mabunduki yako 10.
unayapanga chini ya meza kazi ni 1 tu,kazi kazi ukiona notification kwa chini battery remains 10% unazima pc unachomeka dude jipya unawasha mzigo kazi kazi mwendo ni huo huo mzeee.😂
Hiyo ndio njia pekee ya uhakika isiyo na cost sana,ila kama mpunga upo Chukua solar au generator.