Kifaa chochote kitachoweza kutunza chaji ya laptop kwa masaa 24

Hii komesha ila sipati picha stress ya kuchaji betri moja moja ili uweke akiba, sio mchezo.
 
1. zipo laptop zinazokaaa na chaji masaa 24, sema inategemea na matumizi
2. zipo powerbanks za laptop ambazo zinazidi hadi 100wh unaweza tumia siku nzima kwa hivi vilaptop vya 15w.
Asante sana chief hiyo powerbank ndo naitaka.
 
Hii komesha ila sipati picha stress ya kuchaji betri moja moja ili uweke akiba, sio mchezo.
ni komesha ila n uhakika mkuu unakua huna wasi wasi na chochote

wakati wa kuchaji ndio pagumu japo nadhani ni bora ugumu wa kuchaji

kuliko ugumu wa kushndwa fanya kazi yako kwa muda uliojipangia iishe.
 
ni komesha ila n uhakika mkuu unakua huna wasi wasi na chochote

wakati wa kuchaji ndio pagumu japo nadhani ni bora ugumu wa kuchaji

kuliko ugumu wa kushndwa fanya kazi yako kwa muda uliojipangia iishe.
Pamoja sana boss wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…