H HAKUNAGA JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 301 Reaction score 72 Feb 10, 2018 #1 Wakuu naomba kujua ni kifaa gani kinamisi hapo katika eneo la mbele chini la hiyo gari kwa mujibu wa hiyo picha inayoonekana
Wakuu naomba kujua ni kifaa gani kinamisi hapo katika eneo la mbele chini la hiyo gari kwa mujibu wa hiyo picha inayoonekana
Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,834 Feb 10, 2018 #2 Hii ni mashine ya kusaga nafaka?
Drjacka92 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 445 Reaction score 522 Feb 10, 2018 #3 Sikuhizi wataalamu wameadimika Sana Jf.
hosh kosh JF-Expert Member Joined Mar 2, 2017 Posts 748 Reaction score 572 Feb 10, 2018 #4 mkuu naona hpo stabilizer imechomoka pia bush hmna pia ya kushikia hyo wakat wa kuifunga ktk borti.. so unatakiwa upate bush ya kuifungia iyo stabilizer na bush inakaa km hpo kwe borti chini inavyoonyesha..
mkuu naona hpo stabilizer imechomoka pia bush hmna pia ya kushikia hyo wakat wa kuifunga ktk borti.. so unatakiwa upate bush ya kuifungia iyo stabilizer na bush inakaa km hpo kwe borti chini inavyoonyesha..