Kifaa gani kinamisi

Kifaa gani kinamisi

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
72
IMG_20180210_175838.jpg
Wakuu naomba kujua ni kifaa gani kinamisi hapo katika eneo la mbele chini la hiyo gari kwa mujibu wa hiyo picha inayoonekana
 
mkuu naona hpo stabilizer imechomoka pia bush hmna pia ya kushikia hyo wakat wa kuifunga ktk borti.. so unatakiwa upate bush ya kuifungia iyo stabilizer na bush inakaa km hpo kwe borti chini inavyoonyesha..
 
Back
Top Bottom