Kifaa gani kinamisi

Kifaa gani kinamisi

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
72
IMG_20180210_175925.jpg
Wakuu naomba kujua ni kifaa gani kinamisi hapo katika eneo la mbele chini la hiyo gari kwa mujibu wa hiyo picha inayoonekana
 
Huo ni msumari ambao unakua na bush unafunga hapo kwenye stabliza sasa hapo huo msumari unaonekana umekatika
 
Back
Top Bottom