Kifaa hiki kina matumizi gani?

Itakuwa Mambo ya kunyanduana
Wazungu🙆,mbombo ngafu!
Hiki ni kifaa cha nini wakuu?
Habari yako,

Jina la kifaa: SLTOE (Silicone Lip Trainer Oral Exerciser)

Kinahusika na: Urembo wa midomo.

Kazi zake ni:
  • Kujenga misuli ya midomo ili iwe na nguvu zaidi;
  • Kuongeza mzunguko wa damu kwenye midomo ili kufanya iwe nyekundu zaidi;
  • Kuyafanya midomo kuwa na umbo zuri zaidi;
  • Kurekebisha umbo la midomo yasiyo na sura nzuri;
  • Kupunguza mashimo ya uzee kwenye midomo.

Picha | SLTOE


Video | SLTOE
Your browser is not able to display this video.
 
Asante Kwa taarifa mkuu
 
Asante Kwa taarifa mkuu
Kama ujuavyo, Uzee huonekana kuanzia usoni, Baadhi ya warembo huwa hawataki waonekane kuwa umri umeendaa, hivyo hujitahidi kufanyisha mzoezi misuli ya eneo la uso, Ili waendelee kuonekana bado vijana.
 
Duuh mi nlijua kina kazi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…