Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Hiki ni kifaa cha nini wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa Mambo ya kunyanduana
Wazungu🙆,mbombo ngafu!
Habari yako,Hiki ni kifaa cha nini wakuu?
Asante Kwa taarifa mkuuHabari yako,
Jina la kifaa: SLTOE (Silicone Lip Trainer Oral Exerciser)
Kinahusika na: Urembo wa midomo.
Kazi zake ni:
Picha | SLTOE
- Kujenga misuli ya midomo ili iwe na nguvu zaidi;
- Kuongeza mzunguko wa damu kwenye midomo ili kufanya iwe nyekundu zaidi;
- Kuyafanya midomo kuwa na umbo zuri zaidi;
- Kurekebisha umbo la midomo yasiyo na sura nzuri;
- Kupunguza mashimo ya uzee kwenye midomo.
Asante Kwa taarifa mkuu
Duuh mi nlijua kina kazi nyingineMambo ya urembo hayo, zana ya Kuzikaza nyama za Uso, Mpira wa Silicone Utunzaji wa Uso wa kuondoa mikunjo na mifereji ya uso kukazanisha Misuli ya Mdomo, Chombo cha Urembo cha Kuzuia Kuzeeka.
$7.29
Robot or human?
www.walmart.com
DuuhKama ujuavyo, Uzee huonekana kuanzia usoni, Baadhi ya warembo huwa hawataki waonekane kuwa umri umeendaa, hivyo hujitahidi kufanyisha mzoezi misuli ya eneo la uso, Ili waendelee kuonekana bado vijana.
So? Vimtu vingine bhnTangazo hili zuri Sana la Biashara. Uzi iishie hapa.
Vifaa vingi huundwa kwa kazi zingine lakini ubunifu wa watu huvifanya vya kazi zingine.Duuh mi nlijua kina kazi nyingine