Kifaaa gani cha bei chini ya laki 2 kinakuza PCB za simu wakati wa kusolder/ kudesolder

Kifaaa gani cha bei chini ya laki 2 kinakuza PCB za simu wakati wa kusolder/ kudesolder

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tanzania au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundi simu mnanielewa.
 
bajet yako ndogo , kama hii itakufaa
ukitaka zile za ku connect na monitor bajet iwe walau 300k plus
 
Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tz au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundu simu mnanielewa.
Tumia camera yenye uwezo wa kuzoom.. funga kwenye screen ya 32 inches
 
Tumia camera yenye uwezo wa kuzoom.. funga kwenye screen ya 32 inches
Sio real time, ukiwa unamove inaweza rag, nitajribu option ya Kwanza baadae nitachukua ya pili maana niliko kazi za hardware ninnyingi naishia kupiga software alafu nibmarachache macho yanasumbua miwani hazifai
 
Back
Top Bottom