O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Apr 6, 2024 #1 Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tanzania au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundi simu mnanielewa.
Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tanzania au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundi simu mnanielewa.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Apr 6, 2024 #2 bajet yako ndogo , kama hii itakufaa ukitaka zile za ku connect na monitor bajet iwe walau 300k plus
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Apr 6, 2024 Thread starter #3 dronedrake said: bajet yako ndogo , kama hii itakufaa ukitaka zile za ku connect na monitor bajet iwe walau 300k plus Click to expand... Nashukuru hizo za 300k ?
dronedrake said: bajet yako ndogo , kama hii itakufaa ukitaka zile za ku connect na monitor bajet iwe walau 300k plus Click to expand... Nashukuru hizo za 300k ?
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Apr 6, 2024 #4 OgaBoy said: Nashukuru hizo za 300k ? Click to expand... kama hii inakuwa na VGA , HDMI interfaces kuunga na TV au PC monitor
OgaBoy said: Nashukuru hizo za 300k ? Click to expand... kama hii inakuwa na VGA , HDMI interfaces kuunga na TV au PC monitor
Conte Code JF-Expert Member Joined Oct 19, 2017 Posts 227 Reaction score 253 Apr 6, 2024 #5 OgaBoy said: Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tz au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundu simu mnanielewa. Click to expand... Tumia camera yenye uwezo wa kuzoom.. funga kwenye screen ya 32 inches
OgaBoy said: Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tz au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundu simu mnanielewa. Click to expand... Tumia camera yenye uwezo wa kuzoom.. funga kwenye screen ya 32 inches
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Apr 6, 2024 Thread starter #6 Conte Code said: Tumia camera yenye uwezo wa kuzoom.. funga kwenye screen ya 32 inches Click to expand... Sio real time, ukiwa unamove inaweza rag, nitajribu option ya Kwanza baadae nitachukua ya pili maana niliko kazi za hardware ninnyingi naishia kupiga software alafu nibmarachache macho yanasumbua miwani hazifai
Conte Code said: Tumia camera yenye uwezo wa kuzoom.. funga kwenye screen ya 32 inches Click to expand... Sio real time, ukiwa unamove inaweza rag, nitajribu option ya Kwanza baadae nitachukua ya pili maana niliko kazi za hardware ninnyingi naishia kupiga software alafu nibmarachache macho yanasumbua miwani hazifai
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Apr 6, 2024 Thread starter #7 dronedrake said: kama hii inakuwa na VGA , HMI interfaces kuunga na TV au PC monitor Click to expand... Poa itakuwa option ya pili ngoja nifatile ya kwanza
dronedrake said: kama hii inakuwa na VGA , HMI interfaces kuunga na TV au PC monitor Click to expand... Poa itakuwa option ya pili ngoja nifatile ya kwanza