Kifahamu choo kisichotumia maji

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,158
Kutokana na ongezeko mabadiliko ya hali ya hewa, kuongezeka kwa shughuli za uchumi zinazoharibu mali asili. Uhaba wa maji duniani unatabiriwa huko siku za mbele.

Wataalamu wamekuja na choo cha ndani kisichotumia maji. Unaweka mfuko kama lining ndani ya choo, ukimaliza shughuli kuna kifute unabonyeza mfuko unajifunga na kukaa kwenye chember.

Inategemea idadi ya watu wanaotumia choo. Mkiwa wengi inabidi kumwaga chemba kila siku. Mkiwa wachache mnamwaga chemba mara moja kwa wiki.

Mifuko inayotumika inatokana na vyanzo asili. Unaweza kuuza uchafu unaotoka kwenye chember ukatumika kama mbolea mashamabani.


 
Bei ya huo mfuko ? Na ujazo wake ukoje hasa ?
Bei ya mfuko sijafahamu lakini nitaulizia, ukubwa wake ni sawa na bakuli la choo hivyo hata kama una contipation ya wiki inaweza kubeba.

Bei ya choo ni Β£700
 
Huo nao ni ubunifu , wazungu sasa wanakuwa vichaaa
Wazungu Ni vichaa.

Tena asilimia kubwa huwa hawajitawazi na Maji. Wanajifuta TU na toilet paper.

Nowdays Nmeona vyoo, automatically vinakutawaza ukishajisaidia.

Sasa hayo mambo ya kutomasana kinyeo Nan anataka[emoji1]?

Hawa jamaa wachafu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu Ni vichaa.

Tena asilimia kubwa huwa hawajitawazi na Maji. Wanajifuta TU na toilet paper...
Unaweza kukuta kwenye harakati za kutawazwa unapimwa corona na teuzi dume automatikale na kile kipimo chao kisicho na nidhamu wala uanaume ndani yake
 
Huku mataifa yalioendelea Huw hawajitawaz?!!
 
Teknolojia hii ikitumika vizuri, inaweza kuwa na uwezekano wa kuzalisha biogas katika namna mabyo matumizi ya umeme majumbani mwa watu (domestic users) yanaweza kupungua kwa asilimia zaidi ya 100%. Tatizo la maji llikitokea na kusababisha hali iliyoelezwa hapa kutjitokeza, basi hali hiyo itakuwa ni blessing in disguise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…