Kifahamu choo kisichotumia maji

Huo ni uchafu maji hayajesha duniani kiasi hicho pili kutumia kama mbolea hata hicho chakula wengine hatutakula ptuuuuu wazu ngu ni wachafu sana basis tu
 
Nawaza tu ktk Porn zao..Mambo ya Analingus sjui wanaenjoy kitu gn.
 
Bei ya huo mfuko ? Na ujazo wake ukoje hasa ?



nahis itawafaa tu wazungu. aina yetu ya vyakula hiyo mifuko midogo.. mzungu lunch burger moja.. mmbongo lunch uqali maharage mchicha ndizi parachichi, maji lita mbili na nanas moja. wakat asubuh keshapiga chapat, uji wa ulez . supu na ndivi mbivu

labda wawe wameweka visaflet
 
R Risk! Gharama za mfuko!,pakwenda kuyamwaga! ,Mtu wakuyabeba kwenda kumwaga!,NANI ANAWEZA KUISHI NA HARUFU YA KINYESI KUTWA NZIMA! Kwa hivi hapana!

Vipo Aina nyingine havitumii mifuko,maji halafu vinawekwa bakteria.Ukikitumia ndani ya masaa 2 choo kinakuwa Kama udongo tifutifu na hauna harufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…