Kifahamu chumba kiitwacho Room 39 kipo Korea Kaskazini. Majasusi wote hatari hutoka humo Inasadikiwa kinaendeshwa na Kim Yo-jong dada yake Kim Jong-un

Namimi ngoja nianze kutengeneza ukoo hatari
 
Hapo kwenye kudukua N.Y
Na kuiba $1B. kama ni kweli basu hao ni nouma
 
Hivi huyu dadake kim anatoa papuchi vizuri kwa shemela,au anampampa tu bila style,maana anaroho nyeusi.
 
Kanatumiaga sex machine nasikia na madildo

Mama yuko Ok ameolewa na jamaa wa Kitengo na tayari wana mtoto mmoja.

Kuna compromise style fulani hivi huwa ikitumiwa inazaa matunda hata kama ni komandoo.
 
Strong intelligence creates a strong nation ,TISS kazi yao ni kuwawinda CHADEMA, pumbavu sana
 
Hapo kwenye kutengeneza vitu na kubandika nembo ya nchi nyingine kutafuta soko duniani nimeipenda hatuwezi kuitumiaa hii kweli tukaingizia Taifa letu fedha manake machungwa mananasi maembe mananasi yajiozea tu huku Kenya ,south africa wakijimwambafai kuuza ya kwao nchi tofauti tofauti

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Tutatumia mkuu
 
Mume wa Kim Yo - Jong ni Choe Song na sio Chong Ryong-hae kama unavyosema. Naamini kuna utatanishi kwenye taarifa yako.
 
Mume wa Kim Yo - Jong ni Choe Song na sio Chong Ryong-hae kama unavyosema. Naamini kuna utatanishi kwenye taarifa yako.
Ni kweli Che Song ni mtoto wa Chong Ryong -hae.

Vinginevyo karibu ujifunze maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…