Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Maua yanahitaji ndege maalum yenye 'cold room' ambazo zinahitaji mzigo wa kutosha kutua kila siku. KIA hamna ndege hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani ndege za mizigo ni kama magari yakubebea mchanga? embu Google kidogo kuusu ndege za mizigoMaua yanahitaji ndege maalum yenye 'cold room' ambazo zinahitaji mzigo wa kutosha kutua kila siku. KIA hamna ndege hizo
KIA nighali zaidi ndo maana hata kwenye utalii wageni wengi hushukia nairobi na huletwa kwa 4x4 mpaka huku kwa kuanza safari
Mkuu hata minofu ya samaki???Ndiyo wenye soko hao na ili yaingie sokoni lazima yawe na utambulisho kuwa yametoka Kenya. Au kama unadhani mnaonewa bebeni hayo makopo ya maua yapelekeni KIA mkayapakize kwenye ndege muyapeleke ulaya.
Bongo mlijaribiwa once mkaharibu huko sokoni sasa hivi Kenya wanawasaidieni tu kubeba risk zenu
Uko wapi? ulilima yale mbegu? Kampuni za Arusha walikuwa wanawapatia wakulima mbegu wanalima na wanavuna mbegu. mim sizungumzii mbegu nazungumzia Maua.Niliyalima mpaka sasa sijalipwa wala siyatamani
Tena sitaki mtu anishawishi mana nilishawishika nikapoteza hela zangu
Zile kampuni za mbegu zinasumbua sana hasa kama huja meet vigezo vyao.Niliyalima mpaka sasa sijalipwa wala siyatamani
Tena sitaki mtu anishawishi mana nilishawishika nikapoteza hela zangu
Mkuu nilikutumia PM naona umekuwa kimyaZile kampuni za mbegu zinasumbua sana hasa kama huja meet vigezo vyao.
Hii Margold unavuna maua pekee na si mbegu na unayakausha then unayasaga kwenye mashine
Mbegu zake nitazipata wapi?Pia yanatumika kupunguza mashambulizi ya wadudu yakilimwa katikati ya mazao....JKT wanayatumia sana kuyalima bembeni ya bustani za cabbage etc
Nisaidie mbegu tafadhaliHaya maua niliyapanda sana kama urembo wa nyumba