Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,289
- 5,964
Hiki kitabu nilianza kusikia habari zake kupitia kwa Babu yangu kipenzi Mzee Moustapha Ameer, alikuwa mwandishi pia aliniambia kuna vitabu vingine si vya kusoma kwasababu hata wao kamwe hawakuwahi kuvielewa ila alinielewesha kuhusu kitabu cha One Thousands and One Night (Alf Laylah-wa Laylah) Mi nikakipenda sana
Alinitajia kitabu kinaitwa "Voynich Manuscript" kina maajabu sana, Kitabu hiki hakijulikani kiliandikwa Wapi, Lini, na Mwandishi alikuwa nani. PIA kitabu hiki hakitoi maelezo yoyote ya kueleweka kuwa kilidhamiria nini hasa, na zaidi kuna kama maua na miti inayoonekana katika kitabu hiki lakini haijawahi kuonekana kiuhalisia.
Lugha iliyotumika pia haifahamiki.
Jina lake kama la kijerumani ila utafiti unaonesha hakijawahi kutokea huko kamwe, wengi wanasema labda kiliandikwa Italia ya kale lakini hakuna ushahidi pia
Jambo jengine wanasema kuwa kitabu hiki kilikuwa kikihama, mfano ukiweka eneo flani basi baadae utakikuta kwingine na wengine wakisema hakikuwa kikilowa utiapo maji
Nitaweka hapa baadhi ya yanayoonekana katika baadhi ya kurasa zake