Streetwinnercomputer
Senior Member
- May 11, 2015
- 107
- 38
[emoji95][emoji298][emoji91]STREET WINNER MOBILE & COMPUTER SOLUTION[emoji95][emoji298]
Habari wakuu Kwa mahitaji ya huduma zifuatazo msisite kututafuta:-
[emoji98]Mahitaji ya Kuunlock network lock(Kama Una kifaa chako cha mtandao na kinatumia line ya mtandao mmoja au kimefungiwa na mitandao ya nje ya nchi Kama vile T-mobile,sprint,AT&T na n.k ili kitumie line ya mtandao husika basi suluhisho lako ndio sisi)
[emoji98]kwa mahitaji ya network unlock code(Kwa Simu,modem & router za promosheni au nje ya nchi zinazodai network unlock code usisite kutuona)
[emoji98]Tunaondoa Factory restore protection lock(Kwa wale wadau wenye Simu zao ambazo Kwa bahati Mbaya wamerestore kwa combination ya button na kusahau google account zao/hawana uwezo wa kuaccess wireless na inapowaka inahitaji kuwa connected na wireless ondoeni Shaka suluhisho lipo)
[emoji98]Tunatoa huduma ya data recovery(Kwa wale ambao Kwa bahati mbaya wamefuta taarifa zao Kwenye computer,Simu,flash disk,memory cards na n.k na wanahitaji kurejesha taarifa zao huduma hiyo inapatikana kwetu)
[emoji98]Tunarekebisha matatizo mbalimbali ya Simu upande wa softwares(Kwa wale ambao Simu zao zimezimika,shambuliwa na virus,zinaishia Kwenye logo,zinaleta SMS za unfortunately has stopped,kujiwasha data na kujidownload apps na n.k)
[emoji98]Tunarekebisha matatizo mbalimbali ya computer hardware na softwares(kufanya installation za softwares mbalimbali,kufanya installation ya operating system,kufanya installation ya drivers na n.k)
[emoji98]Jipatie vifaa mbalimbali vya computer(Tunauza Ram,hard drives,display,batteries,laptops chargers,DVD roms na n.k)
NB:- Huduma zinafanyika ofisini na Kwenye mtandao mahali Popote unaweza kuhudumiwa Ila baadhi ya huduma zinahitaji uwe na chanzo cha mtandao,computer na USB cables.
ANGALIZO: HATUFUNGUI SIMU ZILIZOZIMWA NA MAMLAKA YA MAWASILIANO(TCRA) NA WALA KUBADILISHA IMEI NAMBA TAFADHALI USITUTAFUTE KWA HIZO HUDUMA..
Mawasiliano [emoji338][emoji338]0712842283(Simu,SMS,Whatsapp)
instagram:Streetwinnerrechnology
Www.streetwinnertechnology.com
Sent using Jamii Forums mobile app