Kifesi: Sina mazoea na Harris na ile sauti sio yangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Unajua kifesi kwenye ile Audio alikua anampa mtu umbea tu kwenye simu , hakujua kama anarekodiwa, so akawa anaropoka umbea wote, hata nahis baadhi ya mambo alikua anaficha, Ila hawa watakua tu wamefanyana na kuna sehemu walipishana kiswahili Ndo mambo yakatindinganya.

Kifesi ile sauti ni yako bwana usikatae, eti sasa hvi unajifanya kuweka kibez hili utuchanganye wanazengo.

Na nasikia kumbe Ndo michezo Yenu na kapiga , na haujamjua Jana wala Leo , yani mnaenda kufanya ujinga uko mnapewa pesa halafu baadae mnaenda kupiga umbea kwa watu eti kakubaka, na sura ilivyokukomaa wewe akubake nani ?

Na nasikia sio kapiga tu ndo michezo yako kumbe na wewe, mi nilikua nakutetea mxiew zako mtu mzima hovyo
 
We si umemfungulia uzi wampenda kuliko tena.. jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata wewe unaonekana hauna tofauti nao wote ni mipunga na Michele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…