Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kwa uzoefu wangu wa marafiki zangu waliodate na kuoa wazungu (japo mimi sijawahi) lakini nimethibitisha kwa wale waliowahi kuwaingia ni kwamba: mwanamke wa kizungu mkielewana na kukukubaliana kamwe hawezi kuchepuka!
Muda wate atakuwa pale kwa ajili yako kwa sharti moja tu "na wewe uwe pale kwa ajili yake". Mzungu sio "mbantu", wanajua saikolojia ya waume zao! Ukichepuka atajua na ukiona kimya hajakuambia ujue anatafuta ushahidi!
Natamani kuzaa na mzungu kwa akili hizi maana wanawakae wa kibantu hawajui sayansi zaidi ya hisia!