Kifimbo cha Nyerere kapewa mbowe?

Mambo mengine unapaswa uulazimishe ubongo wako kufikiria hata kama ni mzito. Si utuletee habari zako za vilabu vya mbege hapa.
 

Mimi kmya
 
Kuna alie wahi kuhoji kwanini MBOWE alikuli ikulu au kama sio kukulia ilikuaje akawa hiyo sehemu enzi zile za MWALIMU??????tafadhali mwenye data kamili atujuze wengine tumechoshwa na tetesi mara oooohh ni mtoto wa kambarage sasa sijui imekaaje hiyo stori....mwenye kujua afunguke tafadhali.
 
na mimi ninalolijua ni hili,
nyerere miaka yake alikua hafikii ikulu anaposafiri nje ya dar,
alikuwa na tabia ya kulala kwa watu/marafiki/waumini wa dini mbalimbali,
hivyo alipofika kwa aikaeli akafanikiwa kumpata mbowe,
(nitafuatilia zaidi jina la mume wa aikaeli na ni kwa nini freeman akatumia jina la mama badala ya baba)

 
we Mamndenyi ndo umepotea njia

bora kama kitu hujui nyamaza,

Aikaeli ni jina la baba wa Freeman

na mama anaitwa Aishi
 
Itakuwa ya kichina tu hiyo
si ya jkn lool


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…