Kifinyo cha Kimataifa kizidi hadi Wanajeshi na Polisi wakose Posho na Mishahara

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Watanganyika tumeamua.

Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao.

Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja kutuua.

Huyu muuaji tutahakikisha anakosa fedha kutoka pande zote duniani hadi ashindwe kulipa posho na mishahara ya Polisi ili wao waelewe vizuri namna ya kusimamia na kutetea haki.
 
Huyo mwanajeshi akikosa mshahara unafikiri mama Ntilie atakuwa katika hali gani? Mpaka Polisi anakosa mshahara unafikiri machinga watakuwa katika hali gani kifedha? Mnataka kutoboa meli na humo humo kuna wengine wanataka kufika safari zao duh
 
Kwa tulipofika hadi wanatuua Watanganyika hivi na hawataki kuwajibika. Acha tutoboe meli lizame ili tuanze upya.
 
Huyo mwanajeshi akikosa mshahara unafikiri mama Ntilie atakuwa katika hali gani? Mpaka Polisi anakosa mshahara unafikiri machinga watakuwa katika hali gani kifedha? Mnataka kutoboa meli na humo humo kuna wengine wanataka kufika safari zao duh
Vita ni vita Muraaaa!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Watanganyika tumeamua.

Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao.

Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja kutuua.

Huyu muuaji tutahakikisha anakosa fedha kutoka pande zote duniani hadi ashindwe kulipa posho na mishahara ya Polisi ili wao waelewe vizuri namna ya kusimamia na kutetea haki.
Pia ndani ya nchi tutoe hela benki serikali ikose mikopo
 
Huyo mwanajeshi akikosa mshahara unafikiri mama Ntilie atakuwa katika hali gani? Mpaka Polisi anakosa mshahara unafikiri machinga watakuwa katika hali gani kifedha? Mnataka kutoboa meli na humo humo kuna wengine wanataka kufika safari zao duh
Vita ni vita... Uchumi unaoilinda CCM unatakiwa kufa
 
Huyo mwanajeshi akikosa mshahara unafikiri mama Ntilie atakuwa katika hali gani? Mpaka Polisi anakosa mshahara unafikiri machinga watakuwa katika hali gani kifedha? Mnataka kutoboa meli na humo humo kuna wengine wanataka kufika safari zao duh
Kwanini hao wote wakose kwa sababu ya mtu mmoja anaweza kupisha na kuwaepusha hao wote?
 
Back
Top Bottom