Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwa tulipofika hadi wanatuua Watanganyika hivi na hawataki kuwajibika. Acha tutoboe meli lizame ili tuanze upya.Huyo mwanajeshi akikosa mshahara unafikiri mama Ntilie atakuwa katika hali gani? Mpaka Polisi anakosa mshahara unafikiri machinga watakuwa katika hali gani kifedha? Mnataka kutoboa meli na humo humo kuna wengine wanataka kufika safari zao duh
Vita ni vita Muraaaa!Huyo mwanajeshi akikosa mshahara unafikiri mama Ntilie atakuwa katika hali gani? Mpaka Polisi anakosa mshahara unafikiri machinga watakuwa katika hali gani kifedha? Mnataka kutoboa meli na humo humo kuna wengine wanataka kufika safari zao duh
Pia ndani ya nchi tutoe hela benki serikali ikose mikopoWatanganyika tumeamua.
Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao.
Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja kutuua.
Huyu muuaji tutahakikisha anakosa fedha kutoka pande zote duniani hadi ashindwe kulipa posho na mishahara ya Polisi ili wao waelewe vizuri namna ya kusimamia na kutetea haki.
Vita ni vita... Uchumi unaoilinda CCM unatakiwa kufaHuyo mwanajeshi akikosa mshahara unafikiri mama Ntilie atakuwa katika hali gani? Mpaka Polisi anakosa mshahara unafikiri machinga watakuwa katika hali gani kifedha? Mnataka kutoboa meli na humo humo kuna wengine wanataka kufika safari zao duh
Kwanini hao wote wakose kwa sababu ya mtu mmoja anaweza kupisha na kuwaepusha hao wote?Huyo mwanajeshi akikosa mshahara unafikiri mama Ntilie atakuwa katika hali gani? Mpaka Polisi anakosa mshahara unafikiri machinga watakuwa katika hali gani kifedha? Mnataka kutoboa meli na humo humo kuna wengine wanataka kufika safari zao duh
Mapato ya ndani hayatakuwa sawa kama uwekezaji utapungua, utalii utaanguka na biashara zitakufa.Kwa mapato ya ndani tu wanaweza kulipa mishahara watu wao, pesa itakayokosekana itakua ni yetu sisi walala hoi.
Tulipofika inabidi ccm wajue kuwa hawajakataliwa na binadamu tu had8 Mungu amewakataaVita ni vita... Uchumi unaoilinda CCM unatakiwa kufa
Ndo wajifunze kusimamia HakiKwanini hao wote wakose kwa sababu ya mtu mmoja anaweza kupisha na kuwaepusha hao wote?