Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
alaaa ..kum e ndiye huyu nguli "" niliyekuuliza kuhusu habari zake ...well ..umenitendea haki sasa
korokochoMapema mwezi huu, April 11,makamu wa rais Walter Mondale iliripotiwa kwamba ameondoka Washington kuzuru. Iceland, Scandinavia na Holland. Lakini,rafiki zangu,mwanaume na mwanamke ndani ya Air Force 2 hawakuwa Mondale na mke wake,walikuwa doubles,watu wanaofanana nao. Walter Mondale mwenyewe na mke wake walikuwa wametoroshwa.
Pitia article zake zote umuelewe yupoje!..[emoji1]alaaa ..kum e ndiye huyu nguli "" niliyekuuliza kuhusu habari zake ...well ..umenitendea haki sasa
Msome vizuri utamuelewa tu huyu muhenga [emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi kumuelewa Andrew nyerere