Kifo Ahamari cha Jimmy Carter

Kifo Ahamari cha Jimmy Carter

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,451
Mapema mwezi huu, April 11,makamu wa rais Walter Mondale iliripotiwa kwamba ameondoka Washington kuzuru. Iceland, Scandinavia na Holland. Lakini,rafiki zangu,mwanaume na mwanamke ndani ya Air Force 2 hawakuwa Mondale na mke wake,walikuwa doubles,watu wanaofanana nao. Walter Mondale mwenyewe na mke wake walikuwa wametoroshwa.
 
heshima yako kaka Andrew,nauliza tu...ni stori imeisha au bundle ndio limeisha?story kama imekatika ghafla...halafu title ina kichwa cha ng'ombe story kiwiliwili cha jogoo!
 
Ok kaka nakaa mkao wa kula story!!!halafu neno lililoko ktk title AHAMARI maana yake ni.nini???
 
Mapema mwezi huu, April 11,makamu wa rais Walter Mondale iliripotiwa kwamba ameondoka Washington kuzuru. Iceland, Scandinavia na Holland. Lakini,rafiki zangu,mwanaume na mwanamke ndani ya Air Force 2 hawakuwa Mondale na mke wake,walikuwa doubles,watu wanaofanana nao. Walter Mondale mwenyewe na mke wake walikuwa wametoroshwa.
korokocho
 
alaaa ..kum e ndiye huyu nguli "" niliyekuuliza kuhusu habari zake ...well ..umenitendea haki sasa
Pitia article zake zote umuelewe yupoje!..[emoji1]
 
Back
Top Bottom