Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Modern history inaanza hapa,anapouawa jimmy carter. Tafadhali mod usiziondoe hizi posting zangu. There is nothing the problem with my mind. Hawa watu wanaofanya haya mambo ni cocaine addicts. Sasa tuendelee na hii hadithi ya jimmy carter. Siku iliyofuatia jimmy,rosalind na aimee carter,wenyewe asilia,waliondoka white house kwenda livu ya pasaka ya siku 10 georgia. Siku 8 za kwanza walipangiwa kukaa kwenye kisiwa cha sapalo,sapalo island. Afya ya carter ilikuwa inadhoofika siku baada ya siku,alikuwa anaumwa leukemia na cancer aina kadhaa. Alikuwa anaonekana dhahiri kwamba uzito wake unapungua,media ilikuwa inasema labda alikuwa anapata mafanikio katika mazoezi ya kupunguza uzito. Alikuwa upesi anapoteza uwezo wa kufanya kazi na media ikasema anakwenda georgia kupumzika. Kwa hiyo kwa muda wa wiki na nusu wakati wa pasaka rais na makamu wa rais wa marekani walikuwa hawapo machoni pa watu. Habari chache zilitokea katika media kuhusu mambo iliyokuwa inadaiwa anafanya mondale katika safari zake. Ama sivyo yote ilikuwa shwari washington.