Kifo cha Al Baghdad - De javu

mtoa mada hoja yake inafutiliwa mbali na tangazo la Isis kutangaza mrithi wa baghdad kwa nini wasimtangaze mapema ?
Al Qaeedah pia walimtangaza mrithi wa Osama na kuapa kulipa kisasi ... ?!
 
Breaking news
Turkey has captured Baghdad's wife unabisha?
Sijaweka posti kwa ajili ya kubishana, bali kuonesha kile ambacho wengi hawa kioni
Kuhusu kukamatwa kwa mke na dada yake Al baghdad sikanushi wala kukubali habari hizo mpaka nitakapo onganisha doti mwenyewe ...
 
jibu post #82
na #85
 
Kwa sasa anayetafutwa ni Mohamed Nusrallah, aache ugaidi au muda si mrefu ataungana na Osama na Abuu Mursab Al Zarkaw
 
Fact ...dahh balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…