Kifo cha Ally Mohamed Kibao na maelekezo ya Rais ingawaje yamechelewa yasaidie kuokoa wote waliotekwa

Kifo cha Ally Mohamed Kibao na maelekezo ya Rais ingawaje yamechelewa yasaidie kuokoa wote waliotekwa

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Hiki kifo cha Ally Kibao kimetokea ni kwa vile Rais hakupewa taarifa sahihi kuhusu utekaji na mauaji.

Kwa hali tuliyofikia ya watu wanateka hadharani na kuua eti wakisema "tumekuja kuchukua mtu wetu" haikubaliki na hii inaashiria kuwa ndani ya CCM na Serikali iko shida kubwa.

Kisa cha kuwaondoa akina Nape na Humbi etc kuna vita kali Chadema wanatumiwa tu kama mbinu ya kuchochea moto kwa mama achafuke kwa haraka.

Mama atumie deep state on the deep state kujua hali halisi. Nchi haina utulivu, mara Chadema kupigwa Mbeya, utekaji na Mauaji,Wamasai Ngorongoro.

Si matukio mazuri kuelekea uchaguzi Mungu ibariki Tanzania.

Pia Soma
- Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
 
Huwa nawaza nyakati nyingine labda hata IGP hajui ni nani hasa anayetenda uhalifu huu mkubwa bila woga naye huwaogopa labda au tusemeje?
Nafikiria kile kikosi Bashite alicho kwenda nacho studio za Clouds huwa kinatokea wapi sipati jibu.
 
Back
Top Bottom