Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Niliwahi leta taarifa hapa kuhusu kifo cha anko wangu mzenji, alikua member wa jamii forum.
Maswali ambayo Hadi Leo NAJIULIZA na sipati jibu ni haya.
Umri wa anko ULIKUA mkubwa sana, lakini sikuwahi Iona familia yake, japo nilikua napafahamu na kwenda kwake.
Tangu nimemfahamu anko nilikua niliuliza kuhusu mke wake au watoto wake, sikuwahi kupata jibu la kueleweka, walidai alioaga mzungu akazaa nae mtoto Mmoja yupo Canada sijui Denmark.
Anko alikua anajiweza ni mtu mwenye pesa na familia Yao walikua na ghorofa mjini zenji.
Je anko alikua timu kataa ndoa? Je kile kinacho jadiliwa humu kuhusu kampeni ya kataa ndoa anko aliishi?
Niliwahi zinguana na Oscar Oscar insta mtangazaji wa wasafi, alihamasisha mambo ya kataa ndoa lakini watu wasichokijua Oscar alikua ametoka kwenye harusi ya mdogo wake kaliua, Oscar mwenyewe ana ndoa na watoto, Kwa Nini asinge mzuia mdogo wake kuoa kwanza kabla ya kuja insta kupotosha.
Sioni usahihi mana Kwa mtazamo wangu Mimi na picha nilioiona, kataa ndoa ni wazo la kijinga sana mana anko kaondoka huku NYUMA hajaacha familia zaidi ya ndugu zake, hata kama hakuwa na uwezo wa kuzalisha ila kuishi na mkewe nazani inge leta kitu.
Nakiri nilipiga sana stori na anko tulinena mengi ila nacho amini anko alikua na msongo wa mawazo, sijui kisa Nini lakini huenda ange kua na mwanamke Kuna utofauti Fulani ungekuwepo,
Tujitahidi kuendesha kampeni za kuelimisha na tutambue kile tunacho kizungumza humu Kuna watu wanakiishi na mwisho kinaacha madhara Kwa jamii. Kuna tabia niliihisi Kwa anko Sito isema kamwe ila naamini anko alikua nayo haikua nzuri tuishie hapo.
Kilicho nisukuma kuandika huu Uzi ni hawa madogo walio chomana visu, humu Kuna watu hupotisha kuhusu bangi kua Haina shida , ona madhara yanayotokea, huyu alieuliwa kaacha mtoto mdogo atalelewa na nani?
Wadogo zangu kaka zangu kuoa si lazima tutajirike Kuna wengine tumeandikiwa umasikini no way out tutafute wa levo zetu tuoe, wapo wa kuvumilia maisha yetu tusifosi kumtaka slay queen ilihali hatuna huo uwezo ACHA aende, tuoe levo zetu watao rizika na ugali dagaa ila sio kufosi na kutunisha misuli mwisho tunaumia.