Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Hongera Polisi Tanzania
Ukweli umewaweka huru na hiyo ndio inayotakiwa,
Yule jamaa wa sakata la mauaji ya albino ni kweli ni padre wa kanisa katoliki,
Picha za upadrisho wake, na baadhi ya picha akiongoza misa takatifu zinafuata hivi punde,
No one should be condemned unheard.

Hao ni watuhumiwa, bado Mahakama haijawakuta na hatia.
Natamani upelelezi wa kina ulio huru ufanyike ili kubaini ukweli wa suala hili na ili hatimaye haki itendeke kwa wahusika.

Aidha, Jeshi la Polisi huwa haliamimiki Sana, taarifa zao unapaswa kuwa nazo makini Sana, kwani uwezekano wa taarifa hizo kuwa za kweli ni 05% na uwezekano wa kuwa siyo za kweli ni 95%
 
Hongera Polisi Tanzania
Ukweli umewaweka huru na hiyo ndio inayotakiwa,
Yule jamaa wa sakata la mauaji ya albino ni kweli ni padre wa kanisa katoliki,
Picha za upadrisho wake, na baadhi ya picha akiongoza misa takatifu zinafuata hivi punde,
ziko wapi picha bajeti bajeti bajeti bila sahau sukari sukari sukari
 
Sema kanisa lina nguvu sana, acha tusubiri.
Kama wanasiasa na polisi tu wanalindana ndo ijekua taasisi kubwa vile.
Hapa wanasubiri mwitikio na kelele za wananchi zikoje.

Hii nchi hii..
 
Mimi naona waliwe viboga hadharani,huku luninga ya Taifa ikiwa inarusha mubashara!
 
Watakao pata picha za hao wahusika tafadhari waziweke humu tunahitaji kuwajua kwa sura zao halisi.
Iwe leo au kesho au siku ya kesi tunahitaji sana picha zao.
 
1718927718250.png

Paroko ndo huyo japo mnatamani asiwe yeye kwavile hii kashfa italichafua kanisa lakini ukweli ni kuwa jamaa ni mtuhumiwa tusubiri mahakama iamue
 
Naqaza ingekuwa japo majina tu ya Waislam ndiyo wametajwa kuhusika.

Nasema majina tu, kwa sababu naamini Muislam mwenye kuufata Uislam hawezi kufanya huo ujinga hata kidogo.

JF ingekuwa hapatoshi.
Angekuwa ni shehe kahusika sasa hivi mngekuwa mnalalama humu kuwa waislamu wanaonewa.
Uislamu unapigwa vita, na janja janja nyingi ili kufanya tukio lionekane km limefanyika kwa kuuonea uislamu na sio mauaji ya mtoto albino.
Ni muda sasa wakujifunza kwa ndg zenu wakristo upole na hekima na kuacha mamlaka zifanye kazi zake.
 
Umeongea point ya maana.
Hao wanajiona wote ni watakatifu na hawapaswi kuguswa katika tuhuma yoyote ile.
 
Mimi naona waliwe viboga hadharani,huku luninga ya Taifa ikiwa inarusha mubashara!
Wengine kuliwa viboga ndiyo starehe yao,sasa huoni kua badala ya kumpa mtu azabu,wwe utakua unampa mtu huyo starehe yake!!
 
Akina bugatti wanaanza kuingia tena matatizoni.

Wakikutwa na hatia wapewe adhabu kali sn hao wagalatia
 
Back
Top Bottom