Kifo cha Benard Membe is a waking alert

Nilijua unasema ni wake up call ya sisi tulio hai kuwa kifo kinakuja wakati wowote, hivyo tujipange kwa maisha ya baadae, kumbe uko kwenye haya haya ya duniani!

Kama kuna aliyeua basi ajue atakutana na Muumba huko siku zijazo, atajieleza. Na ajue/wajue watakuwa wamevuka mipaka sana, maisha haya yanapita tu. Na kama ni ahadi yake basi sote tupate funzo juu ya hiki kifo.

RIP Membe.
 
Hapa JF bwana, unaongea kwa kumung'unya maneno?
Kuwa muwazi!
Idara ndani ya idara, Musiba ana kundi lake?
Maana yake nini!
 
nini? Hizo chanjo fake zenye madhara?
Chanjo ipi Ina madhara? Ndugu zangu wanna wamechanjwa na sijaona complications mpaka leo
Kuchanjwa kwa ugonjwa gani? Huo ugonjwa fake ulioachwa kupigiwa makelele baada ya Vita vya Ukraine?
Si watu walichanjwa zaidi ya 70% huko duniani so ikatangazwa kuwa COVID 19 imepotea na lockdown zikaisha. Bila chanjo ulikua hauoni maelfu walivyokua wanakufa Kila siku.
Alafu unasema "ukichanja inapunguza risk ya bla bla"
Punguza ujuaji Mimi wazee wangu waliugua hiyo kitu manusura wapoteze uhai wao na wameponea ICU. Sasa hiyo scam ni Nini? Unless ungesema umetengenezwa maabara ila COVID was real na uliua watu.
 
Kurudi kule Kwa Yale ma failures itakuwa disaster Bora tugawane fito..

Binafsi watu wenye milengo ya ujamaa Huwa natamani watokomezwe kabisa wanasababisha hasara kubwa sana za kimaisha na kutumia watu bila sababu za msingi..

Sasa ndio nimegundua Kwa nini kina US nk walikuwa wanawapiga vita sana watu wenye Itikadi Kali na milengo ya Kijamaa au utaifa..

Huwa wanaaminisha watu ujinga kwa.propaganda dizaini ya wahubiri uchwara wanavyofanya waumini wao Hadi wanakuwa nyumbu to the extent yanakufa kama mainzi..

Na bahati mbaya jamii kubwa Ina watu wajinga wasioweza kufanya uchanganuzi wa mambo..
 
  • Kadiri ya masimulizi, inaonekana 'zamani' mapambano yenye matokeo haya ilikuwa ni kama michezo ya 'jadi'.
  • Kuna mdau aliwahi anzisha bandiko humu alielezea kwa kina 'utemi' wa zamani; ili kudhihirisha ktk bandiko hilo kuwa alichofanyiwa T. Lisu 2017 ni 'cha mtoto'. Np'imsahau jina lake na kichwa cha bandiko husika.
  • Nionavyo, ule mchakato wa kumpata mgombea 2015, na namna mshindi alivyoonyesha umwanba umeleta mwelekeo Mpya - unaofanana na - 'utemi wa zamani'.
  • Tuwaheshinu viongozi wa dini, na raia pia, wakati tunaodhani ni 'mchana' na tunaodhani 'usiku'
 
Upuuzi mtupu!!

Tatizo unaishi kwa kukariri.
hujui kama mambo yanaenda yanabadilika??!

Mzee amka....toka usingizini.

Kifo ni lazima kwa binaadamu. hivyo huna haja ya kuumiza akili.
 
Musiba is a factor kuna wenyewe
Musiba apeleka musiba Lindi...but awe factor au asiwe factor, deni liko palepale.. ajiandae kupambana na wasimamizi wa mirathi maana hao ndio ngangari kuliko hata marehemu mwenyewe (ni fisi aliyekabidhiwa bucha)- hawasikii na hawataambiwa kitu... matakwa ya marehemu na wosia wake utazingatiwa zaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…