jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Nilijua unasema ni wake up call ya sisi tulio hai kuwa kifo kinakuja wakati wowote, hivyo tujipange kwa maisha ya baadae, kumbe uko kwenye haya haya ya duniani!
Kama kuna aliyeua basi ajue atakutana na Muumba huko siku zijazo, atajieleza. Na ajue/wajue watakuwa wamevuka mipaka sana, maisha haya yanapita tu. Na kama ni ahadi yake basi sote tupate funzo juu ya hiki kifo.
RIP Membe.