Kifo cha Benard Membe is a waking alert

Kifo cha Benard Membe is a waking alert

Nimewasikia madaktari waliompokea Membe leo wakihitimisha kuwa amefariki kutokana na changamoto za upumuaji na hasa kuganda kwa damu kwenye mapafu.
Najiuliza tu:
Je Membe alikuwa amechanjwa zile chanjo za "Moderna" ambazo zinalalamikiwa kuleta maafa huko marekani?
Je madaktari wametumia njia gani kugundua haraka kuwa hivyo, kuwa kuganda kwa damu "Embolism" ndio sababu?
Je hakuna sababu ya kufanya "Post Mortem" hasa tukizingatia ukweli kuwa hakuwa anaumwa siku za karibuni?
Je kumbukumbu za afya yake zimechunguliwa? Daktari wake ametoa ushirikiano kwa madaktari wa Kariuki?
Nawaza kwa sauti tu.🤔
Haiko hivyo
 
Nikiwa kijiji kwangu huku njilinji nikiendelea na shughuli za kilimo nimeshtushwa na taarifa ya kifo cha Mh. Benard Membe (kachero mbobezi) natuma salamu za pole kwa ndugu jamaa na marafiki. Poleni sana kwa huu msiba mzito.

Kutokana muunganiko wa code mbalimbali nachelea kusema mambo kadhaa.

1. Musiba is just a factor. Wapo wenyewe ambao wana mission yao. Kuna movement kubwa chini ya kapet ambayo inatengeneza mwelekeo wa siasa zijazo (nafasi kubwa za nchi) hivyo watawala wachague kukumbatia bomu au vinginevyo waswahili wanasema fuga chatu ipo siku ... yaani ipo siku..

2. Kuna mwelekeo mmoja wa kiitikadi unaofanana ndani ya idara. Udhibiti unahitajika kwa sababu ya madhara yanayoweza kutokea siku za usoni. Katika mchakato wa kurekebisha msifanye makosa ya kijinga kama (udini) nk. rudisheni idara alipoiacha mwangonda, amuwezi kuwa na idara ndani ya idara

3. Mrudisheni Nchimbi asaidie ku regulate hii movement ndani ya serikali na chama for the sake of 2025 au 30 kama mnataka kutengeneza mwelekeo mzuri alioanzisha Mama au turudi tena kuanza upya hii flow ya FDIs mnayoiona Mama amefanya kazi kubwa sana dhibitini hii movement.

Mungu Ibariki Tanzania
Mwenye masikio na asikie.

Tanzania inahitaji kupumua dhidi ya hizi hekaheka za kuusaka ufalme.
 
Watajua wenyewe huko daslama......, wacha niendelee kupalilia zangu kahawa na ndizi maana hata hii nchi akikaaa nani bado tutabaki kuwa Wapumbavu tuuu na kudanganywa na maneno ya kwenye tiviiii....
Ova.
 
Nimewasikia madaktari waliompokea Membe leo wakihitimisha kuwa amefariki kutokana na changamoto za upumuaji na hasa kuganda kwa damu kwenye mapafu.
Najiuliza tu:
Je Membe alikuwa amechanjwa zile chanjo za "Moderna" ambazo zinalalamikiwa kuleta maafa huko marekani?
Je madaktari wametumia njia gani kugundua haraka hivyo, kuwa kuganda kwa damu "Embolism" ndio sababu?
Je hakuna sababu ya kufanya "Post Mortem" hasa tukizingatia ukweli kuwa hakuwa anaumwa siku za karibuni?
Je kumbukumbu za afya yake zimechunguliwa? Daktari wake ametoa ushirikiano kwa madaktari wa Kariuki?
Nawaza kwa sauti tu.🤔
Acheni mis information.... Ni wapi wamesema blood clots zimesababishwa na chanjo?
 
Nimewasikia madaktari waliompokea Membe leo wakihitimisha kuwa amefariki kutokana na changamoto za upumuaji na hasa kuganda kwa damu kwenye mapafu.
Najiuliza tu:
Je Membe alikuwa amechanjwa zile chanjo za "Moderna" ambazo zinalalamikiwa kuleta maafa huko marekani?
Je madaktari wametumia njia gani kugundua haraka hivyo, kuwa kuganda kwa damu "Embolism" ndio sababu?
Je hakuna sababu ya kufanya "Post Mortem" hasa tukizingatia ukweli kuwa hakuwa anaumwa siku za karibuni?
Je kumbukumbu za afya yake zimechunguliwa? Daktari wake ametoa ushirikiano kwa madaktari wa Kariuki?
Nawaza kwa sauti tu.[emoji848]
Huwez kupata hizo report kama walivyofanya kwa JPM hata sasa wanafanya yale yale ya kufumbia macho uchunguzi wa afya ya marehemu kabla ya kifo.

Hivi ni vifo vyenye utata sana na huenda au basi....... Naishia hapahapa[emoji23]
 
Back
Top Bottom