Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

kuna watu hapa jf kazi yao ni moja kumshambulia mbowe hata kama hawajsoma between his lines,

ni kweli na mmoja wa hao watu humu ni mimi KadaMpinzani, and keep in mind there are also those wanaokosoa serikali hata pale inapofanya vizuri ! kuna watu wa kila aina mbona mzee ! you just have to bare with everyone and be patient, lakini dont ever expect kila mtu awe upande wa kuikosoa serikali wakati mmoja !

and i dont have to read btwn his lines, yeye ni mwanasiasa anatakiwa aongee in the finest language possible kwa raia wa kawaida kuweza kuelewa, na kama alikuwa anaongea kimafumbomafumbo (uliponiambia to read btwn the lines) nachukulia kama ushambulizi wa kisiasa maana ndio mashambuliza hufanywa namna hiyo ili watu waweze kusome btwn the lines !
 
Aseme nini? Anatafuta umaarufu tu wa kisiasa. Wenzie tunamlilia ndugu yetu yeye anataka kuleta mzaha. Hivi hawa wanasiasa wa Bongo hawajui kifo?

maana niliambiwa "read between the lines"..(finest language needed baby ) nikajua atakuwa na kitu labda cha maana cha kuongea ! kumbe the usual mbowe asiyechoka kutapatapa !

Kama huyo mbowe alikuwa akimjali ballali kuliko watu wote, why didnt he take any actions to make sure hayatokei haya anayosema yametokea ?? au hajui bora kinga kuliko......!!
 

Mtanzania;

Hii ishu ni ndogo ndogo mno. Sijui kwanini ina utata. Ubalozi umesema hivi:

``...Simply put, because of the termination of his service, he no longer represents the government and is no longer eligible for his current non-immigrant visa status.``
US Embassy Press Release, Jan 16th, 2008

Mtanzania, hapa ni wazi kwamba Ballali alikuwa ana "non-immigrant visa" status na baadae waka i revoke baada ya kufukuzwa. Angekuwa na Immigrant Visa (Permament Residence) asingekuwa na haja ya kuomba non-immigrant Visa! Hilo la kusema alicho poteza ni haki ya Permanent Residence kwa sababu kakaa sana nje ya US, hiyo ni speculation yako. Na ni wrong speculation because it is there in black and white, wame revoke Visa kwa sababu amefukuzwa kazi, na Visa yenyewe ni non-immigrant Visa!

Ok. Nini hapa hakieleweki. Mimi mbona sikioni? Ukidai Balozi kakosea wakati yeye ndio anatao Visa na Sheria ni za kwao, lete hiyo sheria uliyosema inakataza kutumia Permanent Residence kwenye Diplomatic Passport!

Siku anakufa, Ballali alikuwa hana Uraia, wala Green Card, wala Visa ya kuwepo Marekani. End of the story!
 

nafikiri case closed hadi hapa ! yameeleweka yote !
 

Wapi niliposema balozi kakosea? Ni kama unajichanganya mwenyewe.

Balozi alichofanya haku volunteer info ambayo kwenye watu walioko serikalini au wanasheria ni kitu cha kawaida mno.

Wewe kwa mawazo yako Ballali angekaa USA illegally? Unajidanganya sana kuamini hivyo. Kwanini akae illegally wakati mke wake ana green card ya USA, wana nyumba, na wana pesa?

Kwa TZ mpaka sasa kuna watu tunawajua ambao wana PR ya UK na huku wanatumia diplomatic passports na kuomba visa kuja UK. Nitashangaa kama hata Masha hafanyi hivyo hivyo kwa hapo USA.

Case ya Ballali iko clear ila watu mnashindwa kuelewa.

Any way nimeandika vya kutosha juu ya hili, ambaye hajaelewa au anabisha basi alete version yake.
 
Hakuna muuwaji wa Balali wala nini. Taarifa zisizo rasmi zinasema alikuwa ameukwaa Ukimwi na alikuwa anahangaika na maisha yake. Nd sababu kubwa hata serkali haikuwa inahangaika kumleta nchini. Suala la UKIMWI na BOT bila shaka linaeleweka na issue hapa ni hizo hizo hela za EPA.
Mambo mengine ya kushadadia kuwa amelishwa SUMU, mbona hatukuambiwa mapema hilo suala! Watanzania tuwe makini sana la sibyo tunaweza kujikuta tunashabikia upuuzi tu bila sababu za misingi.
 

Hata mimi naamini hivyo hivyo kwamba alikuwa na uraia, lakini hata kama hakuwa na uraia basi alikuwa na green card na green card/urai ndio vimemfanya akae USA bila matatizo hata baada ya kufutiwa visa kwenye diplomatic passport yake.

Longo longo zingine zote ni ubishi usio na maana.
 


Hilo la ukimwi unao ushahidi kuwa alikuwa na ukimwi? Usiwaseme wenzako kuwa wanashadidia kumbe wewe ndiyo wa kwanza kushadidia na kueneza majungu.
 
Hilo la ukimwi unao ushahidi kuwa alikuwa na ukimwi? Usiwaseme wenzako kuwa wanashadidia kumbe wewe ndiyo wa kwanza kushadidia na kueneza majungu.

kaka/dada jasusi,

Lakini hajafa sio? Siamini kama kafa, nasema SIAMINI. Tunaweza kuoneshwa picha ya maiti yake? Picha tu inaweza kutupa ukweli wa habari hii
 
kaka/dada jasusi,

Lakini hajafa sio? Siamini kama kafa, nasema SIAMINI. Tunaweza kuoneshwa picha ya maiti yake? Picha tu inaweza kutupa ukweli wa habari hii

Dadangu,

Usihangaike bure, wameshindwa kumwonyesha balozi wetu ndio uwe wewe? Mimi naamini kama wewe kwamba Ballali hajafa, haya mengine tunafungwa kamba tu.

Hili jambo hatutajua ukweli wake maana hata serikali wamefurahi kuona jamaa kapotea. Kupotea kwa Ballali kunaipunguzia matatizo serikali pamoja na familia yake.

Miezi sita ya kumkamata ilikuwa inakaribia, hivyo njia rahisi ni kusema kafa.
 
kaka/dada jasusi,

Lakini hajafa sio? Siamini kama kafa, nasema SIAMINI. Tunaweza kuoneshwa picha ya maiti yake? Picha tu inaweza kutupa ukweli wa habari hii

Kwa sababu uvumi ni kwamba wame-fake kifo, picha inaweza kuwa Cadaver la mtu mwingine limetegeshwa.

Je, ungependa Video ya wakati anakata roho?
 

Kada,

Kwenye hili Mbowe ni mshiriki, kuna conflict of interest hapa.

Siasa wakati mwingine ni unafiki mkubwa.

Mbowe hawezi kumlaumu Ballali ambaye ni ndugu yake badala yake lawama zote anazipeleka serikalini.

Mbona alikuwa wa kwanza kujua kuhusu kifo cha Ballali, kwanini hakujua Ballali alikokuwa na kutujulisha Watanzania.

Mwulizeni Mbowe ana uhusiano gani na Ballali?
 

wow ! that statement opened up my eyes ! hiyo nafikiri ni mbowe-connection na itabidi aje aeleze watanzania maana naamini kama ulivyosema (which makes a lot of sense) kwamba most definitely alikuwa anajua ballali alipo, na alisubiri mambo yafike climax ili aweze kujinufaisha kisiasa na kupakazia as usual CCM. Sidhani kama anajua wimbi safari hii linaweza kumgeukia na kifo cha ballali kinaweza kumhunt for his whole political career + ndio maana MEMBE keshaweka wazi serikali haikuhusika !! (MBOWE ARE YOU RECHABO?)..sasa subiri nianze kumbip mbowe humu jf taratibu sijui atapokea ??
 
...mimi imenifurahisha hii...

“Ufisadi na mchezo mchafu wa CCM, umewatesa watoto wetu, wazazi wetu na sasa basi, tutapambana hadi watakapouana wote waishe..."

...hapana, mimi siamini eti watauana wote mpaka waishe, ha haa..!
 

Mkuu achana na mbowe hakuwa na uwezo wa kurudisha Balali Bongo. Je yule anayepewa majina kila siku badala ya kuyashughulikia ANAyaangalia ukubwa wake na kutafuta waingereza wamsaidie alishindwa nini kumrudisha balali?

Bahati nzuri baadhi ya mafisadi wanapumua maana amewakingia kifua eti wapumzike. Sasa huyu ambaye alihamua kumnyamazia mara kafariki. Sisi hata afariki tunajua majibu yote anayo yeye kwa hiyo hakuna siku hata moja atatoa ripoti yenye kisingizio cha balali.

Pale palipo na balali inatakiwa ajiweke yeye mwenyewe basi tu. Kwa sababu mpaKA BALALI ANAPOTEA TULIKUWA NA MUDA WA KUTOSHA. Mimi ninachoona hapa balali kapaa tu. Sijui ameangukia pua au vipi hila wale wazee wa EPA, wakamatwe wote tu.
 

aliyosema mbowe ni
- Amina Chifupa kauliwa na CCM
- Ballali kauliwa na CCM
hATA HIVYO BWANA MBOWE HAKUTOA USHAHIDI WOWOTE AMBAO UNAONYESHA KULIKUWA NA LINK YOYOTE KATI YA HIVYO VIFO VYA AMINA CHIFUPA NA BALLALI ! MAWAZO YA MBOWE KUSEMA AMINA CHIFUPA KAULIWA NA CCM HAYANA TOFAUTI NA YALE YA VIBARAKA WAKE AMBAO WAKO HUMU JF !

Sasa kwa kuwa Mbowe kasema chifupa, na ballali wameuliwa na ccm nafikiri itakuwa vizuri zaidi kama kiongozi wa chama cha chadema ili kusaidia taifa la tanzania kusitokee na matukio kama hayo. Ni imani yangu kwamba mbowe alikuwa akimaanisha maneno aliyosema na ndio maana akayatamka ! Nitafurahi sana kuona plae vyombo vya dola vitakapoweza kupata nafasi na kumhoji mbowe juu ya hizo taarifa alizotoa ili zifanyiwe kazi na kupatiwa ufumbuzi !

Lakini pia vile vile mbowe alipata nafasi ya kukipigia debe chama chake na kufungua tawi ! what a crook !
 

Mbowe keshasema kwamba ballali na amina chifupa wameuliwa na ccm ! now is he ready to take those claims to the police and justify them by prooving how that happened ? maana naamini kiongozi makini kama yeye hawezi kuropoka tu hivi hivi !
Mbowe nafikiri ana mengi ya kujibu kama atahojiwa na vyombo vya dola !
 

Kama hili ni Dua basi Dua chafu...huwezi ukasema ovyo hivyo juu ya jamaa hawa wanao risk maisha yao kufichua ufisadi. Umelaaniwa fisadi weeeeee.
 
Umesema mbowe ni ndugu sijui wa nani may be anajua vizuri kuhusu balali hilo hatuna haja nalo sisi tatizo letu ni moja tu ni wezi wa EPA. Kulikoni hawajakamatwa wakati wanajulikana.

Kifo cha Balali kitajulikana tu ni matter of time hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Nasikia huko Iringa hata wamesahau kuweka msiba maana hawakupata taharifa.

Sasa nafikiri Balali tuachane naye kwa muda hili waweze kukamata watu walioiba pale Bot wakikamatwa tushugulikie suala la balali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…