Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwenye hili i will stand as defender, hakuacha mkoa hata mmoja unless huijui Tanzania...Mtetezi wa wanyongwe, wakati kila mradi mkubwa ulifanyika huko ukanda wa nyonyo
Duu safisha kichwa mkuuCcm ilikwisha pasuka toka enzi sasa ni maiti inayotembea.
Wewe ndiye hujui sasa. Mwendakuzimu alipendelea nyonyo zone asilimia 💯Kwenye hili i will stand as defender, hakuacha mkoa hata mmoja unless huijui Tanzania...
Elezea miradi aliyoifanya chato ni mingapi, kilimanjaro mingapi, arusha mingapi, ruvuma mingapi, mbeya mingapi?mwanza mingapi,Kwenye hili i will stand as defender, hakuacha mkoa hata mmoja unless huijui Tanzania...
Kesho italala mazima, kwa Sasa inabebwa na TISS na PolisiCcm ilikwisha pasuka toka enzi sasa ni maiti inayotembea.
👎👎Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
View attachment 1948991
Fifty fiftyHapana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, musoma hospitali kanda,daraja Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini? The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi waliyopoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM ACT SRTATEGICALLY ON THIS LAKE ZONE.
Mkuu Magufuli hakuwahi kuwa mwana CCM kinda kinda.Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.
Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCcm kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.
WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.
Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu Ccm.
Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
Hakuna Rais mpaka sasa aliyeua ari na misimamo ya kisiasa ya CCM kama Magufuli.Hapana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, angalau musoma hospitali kanda,je vipi daraja la Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini? The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi walioupoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM BE VIGILANT AND ACT SRTATEGICALLY ON THIS ISSUE OF LAKE ZONE. Kazi iendelee
Huyu mkabila hakuna kitu alichofanya huku MbeyaHapana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, angalau musoma hospitali kanda,je vipi daraja la Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini? The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi walioupoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM BE VIGILANT AND ACT SRTATEGICALLY ON THIS ISSUE OF LAKE ZONE. Kazi iendelee
Mbeya hata hivyo hamna makusanyo kama ya kanda ya ziwa!Huyu mkabila hakuna kitu alichofanya huku Mbeya