Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Mbeya ni mlango wa kwenda kusini mwa AfrikaMbeya hata hivyo hamna makusanyo kama ya kanda ya ziwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya ni mlango wa kwenda kusini mwa AfrikaMbeya hata hivyo hamna makusanyo kama ya kanda ya ziwa!
Jinga mkubwa wewe, miradi ya mafuta Ohima to Tanga, Miradi ya SGR & umeme Rufiji, Njia nane ubungo to kibaha, ujenzi wa vituo vya afya, uboreshaji wa bandari, meli kwenye maziwa makuu, uboreshaji wa viwanja vya ndege, barabara, ujenzi wa stendi kila mikoa na (w) n.k, halafu unaandika ujinga hapaMtetezi wa wanyongwe, wakati kila mradi mkubwa ulifanyika huko ukanda wa nyonyo
Umetema madini kiongozi🙏🙏🙏Hapana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, angalau musoma hospitali kanda,je vipi daraja la Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini? The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi walioupoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM BE VIGILANT AND ACT SRTATEGICALLY ON THIS ISSUE OF LAKE ZONE. Kazi iendelee
cCCM haina nguvu zaidi ya upinzani. Kimsingi, upinzani dhaifu ndiyo umeifanya CCM kuendelea kuwa madarakani pamoja na uchakavu na ukale wake bila kusahau kukosa mwelekeo, ufisadi na umalaya wa kisiasa.
Huyu huyu ambaye alizuia ajira za wanetu kwa miaka 6!Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.
Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.
WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.
Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.
Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
Hata ikigawanyika - bila Tume huru ya Uchaguzi hakuna kipya ni kupoteza muda tu.Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.
Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.
WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.
Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.
Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1948991
Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.
Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.
WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.
Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.
Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.b
Hakiyamungu angeendelea kuishi mpaka sasa watanzania tungeokota makopo mana alikuwa hajali kabisa ustawi wa watu yeye ilikuwa barabara tu.Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.
Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.
WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.
Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.
Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
Hao wasiokuwa wabinafsi wameitendea nini tanzania zaidi ya kuiba na kuingia mikataba ya kinyonyaji huku wakipeana nafasi za uteuzi za kujuana na kushindwa hata kutumbuana mtu akiharibu?Elezea miradi aliyoifanya chato ni mingapi, kilimanjaro mingapi, arusha mingapi, ruvuma mingapi, mbeya mingapi?mwanza mingapi,
Yule alikua mbinafsi sana hata teuzi nyingi ni sukuma tu
Huijui tanzania eng. Mzima unasikiliza story za vijiweni ,ungetembelea mikoa yote ya tz ndo ungejua nchi inajengwa namna gani ma hayati jpm.Mtetezi wa wanyongwe, wakati kila mradi mkubwa ulifanyika huko ukanda wa nyonyo
Sema miradi aliyojemga Mbeya, na mikoa mingineKwenye hili i will stand as defender, hakuacha mkoa hata mmoja unless huijui Tanzania...
Yawezekana pia yasingefanyika mauaji ungekufa wewe, waulize wakazi wa kibiti wanajua hili.Wanabodi tumuache magufuli apumzike,katika utawala wake Ni kweli mauji yalifanyika,utekaji ulifanyika,utapeli ulifanyika,manunuzi ya kihuni ya wapinzani yalifanyika,Uhuru wa habari ulibanwa,lakini yote hayo tuliyavumiliana kwa taabu na shida.ilitulazimu kuswali,kuomba na hata kufunga ili mungu wa mbinguni atuondolee utawala wake kishenzi uliokuwepo kweli dua ilipokelewa na kujibiwa.leo Tena hangaya anataka kututudisha kule kwenye kuswali,kuomba na kufunga ili kumlilia mungu juu ya utawala usio na haki.ccm haina jipya lolote kwa nchi na wananchi.
eKwenye hili i will stand as defender, hakuacha mkoa hata mmoja unless huijui Tanzania...
Yaani kwa umri wako bado unategemea kuajiriwa, bora Magufuli aliwafungiua watu wakajiajiri na amewaacha vizuri, isipokuwa wewe unayesubiri kuajiriwaHakiyamungu angeendelea kuishi mpaka sasa watanzania tungeokota makopo mana alikuwa hajali kabisa ustawi wa watu yeye ilikuwa barabara tu.
Waliokuwa wanampenda jama ni wale ambao tayari wako ajirani au wana ajira na wenyewe walikuwa wanampenda kama kasumba ya mtanzani kwamba akishapata hataki mtu mwingine apate ili uzidi kumnyenyekea yeye. Kundi lingine lililokuwa linampenda ni lile la waliokuwa wanashangilia ili aliyefukuzwa afanane nao ili wote wote wawe maskini mana alijidai sana.
Kundi la tatu ni ambalo halina elimu kabisa kwa hiyo halijui hta future mana yake nini kinachokuja mbele yao sawa tu vyote maisha.
Kiujumla jpm angekuwa anaongoza nchi watu wangezidi kutembea uchi kwa kuchanganyikiwa
Tulijua tu mtalalamika mlijifanya nchi ya kwenu tangu 1960, sasa cha moto mtakiona mlizoea kutumia rasilimali za nchi kuwekeza kwenu. Mna tofauti gani na aliyofanya magufuli, mnalalamika kwa kuwa magufuli aliwatemesha tonge. Na hamtalipata tenahebu tuambie kanda ya kaskazin alifanya nini.
e