Kifo cha Dkt. Magufuli kuipasua CCM 2025

Sina muda mrefu humu Jf ila najua wewe una chuki na hayati JPM. Full stop.
 
Ccm ilisha zikwa ila polisi na usalama wamdbeba jeneza tupu wamelibatiza ccm
 
Mtetezi wa wanyongwe, wakati kila mradi mkubwa ulifanyika huko ukanda wa nyonyo
Mkuu wakati mwingine ukiwa muongo mwisho wake nikukosa heshima, ama sijui wewe hutembei umebaki na kisimu tu kuandika usiyoyajua, hebu niambie ni mkoa gani ambao mwendazake hakupeleka mradi mkubwa,kama si hospitali au si barabara au masoko au sio vituo vya mabasi,huduma za maji.Watu tuwe wakweli bana mwendazake kafanya makubwa katika miaka 5 tu ambayo wengine hata katika miaka kumi hawajafanya!
 
Kwa hiyo Mimi ni mwongo mnafki mzushi kama mwenda zake ,usitake niamini unachokiamini, Hakuna chochote alichofanya.
 
Elezea miradi aliyoifanya chato ni mingapi, kilimanjaro mingapi, arusha mingapi, ruvuma mingapi, mbeya mingapi?mwanza mingapi,
Yule alikua mbinafsi sana hata teuzi nyingi ni sukuma tu

Kama hujui lala, swal Mbona dar , Dodoma, morogoro, na pengine kafanya makubwa je nichato [emoji848] au unamahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…