Kifo cha Gazeti la Mwananchi kilitarajiwa baada lakini siyo ghafla kiasi hiki

Kifo cha Gazeti la Mwananchi kilitarajiwa baada lakini siyo ghafla kiasi hiki

Hawa watu wana roho mbaya sana. Mtu anafurahia kifo cha kampuni kubwa kama Mwananchi bila kujali kuwa kuna familia nyingi zitaangamia kwa bread winners wao kupoteza ajira. Mungu atuepushe na hawa wajaa laana wanaojiita CHADEMA.

Ndo wafe? Du haya mungu wa serikali ya samia. Ningekuwa samia siwezi kuruhusu wewe uwe shabiki wangu. Ni laana kubwa kuwa na watu wanaotakiwa wengine vifo au kuuwa wengine. Sijuhi kwa nini samia anakuwaga na mashabiki wa ovyo hivi.
 
From ‘broadsheet’ to a ‘tabloid’ within a week, now that’s a quick turnaround.

Lakini hawa jamaa aisee acha tu. Magazeti pia yanawajibu ya kuelimisha jamii. Kila gazeti likijikita kwenye uchawa huko si ndio kupumbaza jamii.
 
Ndo wafe? Du haya mungu wa serikali ya samia. Ningekuwa samia siwezi kuruhusu wewe uwe shabiki wangu. Ni laana kubwa kuwa na watu wanaotakiwa wengine vifo au kuuwa wengine. Sijuhi kwa nini samia anakuwaga na mashabiki wa ovyo hivi.
Wewe ni mpuuzi.
 
Usamehewe bure! Yaani ajira ni zaidi ya uhai. Damu ya mtu ni zaidi ya ajira na gazeti. Kuna njia nyingi sana za kuua, kuuwa kwa maneno au kuuwa kwa kupiga etc. Wewe si mtu mzuri hata kidogo. Wewe ni mtekaji. Utajibu siku moja mbele ya Mungu ukiwa hauna gazeti lako au nguo. Nimesikitika tuna watu kama wewe kwenye jamii.
Nenda mahakamani kashtaki. Pumbavu.
 
Nenda mahakamani kashtaki. Pumbavu

Bibi matusi ya nini, hii inaakisi mnaye mshabikia. Jibu hoja, matusi utoka vinywani mwa mpumbavu. Uwe unasoma na kuelewa ndo ujibu. Mimi si mpumbavu bali nina Hekima. Usiwe na hasira, pia hasira utoka kifuani mwa mpumbavu. Weka mbali hasira hili usiwe mpumbavu ndo umshabikie Samia vizuri. Unasikia we dogo.
 
Daaah limekuwa kama Ijumaa ya Shigongo?
Amenikumbusha mwekezaji alivyonunua viwanda vya B.W.Mkapa, badala ya kuzalisha bidhaa yeye akafanya godown ili mradi kukumaliza tu
It was strategic move kuua hilo gazeti. Watawala hawapendwi kuanikwa
 
Gazeti la mwananchi ukurasa wa kwanza ni habari za mapenzi duuu
 
Limekuwa kama magazeti ya Shigongo ya zamani
 
Back
Top Bottom