Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Hawa watu wana roho mbaya sana. Mtu anafurahia kifo cha kampuni kubwa kama Mwananchi bila kujali kuwa kuna familia nyingi zitaangamia kwa bread winners wao kupoteza ajira. Mungu atuepushe na hawa wajaa laana wanaojiita CHADEMA.
Wewe ni mpuuzi.Ndo wafe? Du haya mungu wa serikali ya samia. Ningekuwa samia siwezi kuruhusu wewe uwe shabiki wangu. Ni laana kubwa kuwa na watu wanaotakiwa wengine vifo au kuuwa wengine. Sijuhi kwa nini samia anakuwaga na mashabiki wa ovyo hivi.
Marisho ❎ Malisho ✅Sasa kama kampuni yenyewe inajiua na inajua kuwa inakufa huyo yeye atafanyaje zaidi ya kutoa taarifa kwamba inakufa ili hizo familia unazozionea huruma zitafute marisho mapya.
Nenda mahakamani kashtaki. Pumbavu.Usamehewe bure! Yaani ajira ni zaidi ya uhai. Damu ya mtu ni zaidi ya ajira na gazeti. Kuna njia nyingi sana za kuua, kuuwa kwa maneno au kuuwa kwa kupiga etc. Wewe si mtu mzuri hata kidogo. Wewe ni mtekaji. Utajibu siku moja mbele ya Mungu ukiwa hauna gazeti lako au nguo. Nimesikitika tuna watu kama wewe kwenye jamii.
Nenda mahakamani kashtaki. Pumbavu
It was strategic move kuua hilo gazeti. Watawala hawapendwi kuanikwaDaaah limekuwa kama Ijumaa ya Shigongo?
Amenikumbusha mwekezaji alivyonunua viwanda vya B.W.Mkapa, badala ya kuzalisha bidhaa yeye akafanya godown ili mradi kukumaliza tu