Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kutokana na kifo cha utata cha mfanyabiashara Billionare kutoka pande za Zimbabwe, Genius ginimbi, Habari za chini ya Kapeti zinadai, Tajiri huyo alikua anafuga joka kubwa sana nyumbani kwake, ambalo Ndilo lililokua likimpatia pesa za kutosha, ambapo Ginimbi alikua akibadilishana nae kwa Damu za binadamu..

Either rafiki wa Karibu na ginimbi anasema . Haina haja ya kupekua kuwa marehemu alikua anafanya biashara gani kama wangetaka ukweli wangemuuliza wakati yupo hai na si sasa wakati amefariki..

Either ginimbi atazikwa jumamosi hii na maburungutu ya dollars za kutosha kwenye kaburi lake
IMG_8526.jpg

IMG_8527.jpg

IMG_8525.jpg

IMG_8541.jpg
 
Hilo joka kwa sasa lipo wapi?
Tunaweza kupata picha ya hilo joka, hasa wakati likimpa pesa?!
Halafu kama kuna uwezekano wa kulipata, ninalihitaji nina kazi nalo...

Mwenzangu mi mwenyewe naogopag nyoka ila kama linatoa pesa nalitaka kwa kwel, Niko radhi nilale nalo kitandani[emoji23][emoji23]

Hizo ni rumors tu, japokua mikasa kama hiyo ipo sana tu , hakuna anayejua kama ni kweli au si Kweli

Kila mtu anataka hilo joka, Tatizo connection ndo hatuna, labda tuwatafute marafiki wa ginimbi
 
Back
Top Bottom