warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Hahahaaa.
Ni kweli alikuwa bilionea au neno ‘bilionea’ limekuwa ni metaphor tu ya mtu anayeonekana ana pesa?
Halafu, hilo joka lilikuwa linazitoa wapi hizo pesa?
Hilo joka na lenyewe ni li bilionea?
Hizi stori za majoka na pesa nimeshazisikia sana.
Hazina ukweli wowote. Ila zinachekesha sana.
Sema tu you chose not to believe, ila zipo sana , haswa haswa huko Zimbabwe, Mozambique na South Africa , wafanyabiashara wengi wanafanya ushirikina wa kutisha kwa ajili ya kupata utajiri na kujilinda na biashara zao haramu.
Joka ninalolizungumzia hapa ni yule ibilisi aliyampeleka Yesu mlimani na kumwambia endapo akimuabudu basi atampa utajiri wote wa duniani.
Niliwah kuambiwa hayo majoka yanatisha vibaya mno , hayafai kutazamwa na macho ya kawaida kwan unaweza pata presha ukafa, sio majoka haya tunayoyaona Mitaani, ni yule joka mkuu wa anga hili, mmliki wa Dunia , baba yetu