King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Basi innalillah wainnailayh rajiuun...Ni Muha
Asije kuwa muha wa Rwanda....ila kuta za nyumba zingekuwa zinaongea basi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi innalillah wainnailayh rajiuun...Ni Muha
asijifanye kasamehewa kwakuwa hakusisitizwa kulipa. wengi hudhani wamesamehewa wasipodaiwaDeni alilokuwa anakudai kawalipe familia mkuu
Nna ndugu yangu yeye mume wake alifariki kwa ajali miaka mitatu sasa imepita, ila mpaka sasa bado hayupo sawa kiakili na kimwili mana hajakubali kuwa mume wake ameshaondoka na hawezi kurudi tena na jukumu la kusimamia familia limebaki kwake pekee yake.Amina