Nna ndugu yangu yeye mume wake alifariki kwa ajali miaka mitatu sasa imepita, ila mpaka sasa bado hayupo sawa kiakili na kimwili mana hajakubali kuwa mume wake ameshaondoka na hawezi kurudi tena na jukumu la kusimamia familia limebaki kwake pekee yake.