Kifo cha . John. Paul I

Kifo cha . John. Paul I

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,451
Oct. 29,1979. Two months ago I warned about the sinister developments that were being set in motion within the Catholc Church. I said the Bolsheviks want to use the. Church in their war agains t Russia,by manouvering the. Church intn am anti-russian stance under the guise of anti-communism. By doing so they want to enlist all the. Roman Catholics into a battle against Russia. Two months ago when I recorded audio letter 37,,Luciani, Cardinal of Venice had just become.Pope John Paul.I. He quickly became known as the smiling. Pope yet he left the scene after barely a month's time.
 
naomba kujua uhusiano wako na Familiya ya Nyerere,naomba kujua ni kwa nini unasema Yericko Nyerere siyo mtoto wa Nyerere,naomba kujua kwa nini unaleta mambo kama hayo hapa jukwaani
 
As. I said last month,the bolshevik game plan was going to be tried with another new. Pope and that is happenning now. The new Pope was elected earlier this month on. October 16. Instantly his image as anti-communist was seized upon by the. American media.,and even the name he has chosen John Paul II signifies a second attempt in the game plan I revealed in august. Pope. John Paul II is the 1st nö-italian pope in 455 years. Carol. Cardinal Wortilla of Poland was a member of the.Polish underground which fought against the Russian and.German occupation forces.
 
For 30 years he has struggled against Russian dominated such as. Poland,and just last month on Sunday, September 17 he played a key role in firing the first gun against Russia. On that day a cardinal letter spearheadf by Vashinski and Wortilla and signed by all the bishops was read in catholic services throughout Poland. Poland is the most heavily. Roman Catholic country in the Russian orbit with over 14,000 churhes and an estimated 85-90% of the population. Roman Catholic. What's more the. Poles have a natural hatred for Russia as big brother. So it caused no small concern in both Warsaw and Moscow when the catholic letter was read to congregatiöns throghout Poland a moxth ago.
 
Oct. 29,1979. Two months ago I warned about the sinister developments that were being set in motion within the Catholc Church. I said the Bolsheviks want to use the. Church in their war agains t Russia,by manouvering the. Church intn am anti-russian stance under the guise of anti-communism. By doing so they want to enlist all the. Roman Catholics into a battle against Russia. Two months ago when I recorded audio letter 37,,Luciani, Cardinal of Venice had just become.Pope John Paul.I. He quickly became known as the smiling. Pope yet he left the scene after barely a month's time.
You mean like putin who left the scene a week ago?.

story is putin have been removed from power
 
Oct. 29,1979. Two months ago I warned about the sinister developments that were being set in motion within the Catholc Church. I said the Bolsheviks want to use the. Church in their war agains t Russia,by manouvering the. Church intn am anti-russian stance under the guise of anti-communism. By doing so they want to enlist all the. Roman Catholics into a battle against Russia. Two months ago when I recorded audio letter 37,,Luciani, Cardinal of Venice had just become.Pope John Paul.I. He quickly became known as the smiling. Pope yet he left the scene after barely a month's time.
Naomba ya kiswahili mkuu.
 
naomba kujua uhusiano wako na Familiya ya Nyerere,naomba kujua ni kwa nini unasema Yericko Nyerere siyo mtoto wa Nyerere,naomba kujua kwa nini unaleta mambo kama hayo hapa jukwaani

Rose, mimi Yericko Nyerere ni mtoto wa Nyerere lakini sio mtoto wa Julius Kambarage Nyerere,

Andrew Nyerere anaweza kuwa sahihi kwamaana ya mimi sio mtoto wa Julius, lakini anaweza asiwe sahihi kwakuwa mimi ni mtoto wa Nyerere lakini sio Julius Kambarage Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Hiyo barua ambayo ilisomwa kwa karibuni watu wote wa. Poland ilishambulia uingiliaji wa uhuru wa vyombo vya habari kwamba ni jambo ambalo"litadumaza utamaduni na dini katika taifa". Rafiki zangu,huyu Papa mpya ananadiwa kama mtu ambaye yuko tayari kuwakabili Warusi ,kuwavaa Warusi. Ndiyo picha tunayopata kuhusu huyu Papa,lakini jinsi ambavyo wanataka kuitumia picba hí ni jambo tofauti kabisa. Na,nadhani ni muhimu ieleweke na wote,Wakatoliki na wasio wakatoliki mambo gani yanatokea nyuma ya pazia. Kwa sababu sasa hivi Kanisa linatumika kama chombo cha wabolsheviki,jambo ambalo linaweza kusababisha Kanisa lilengwe na maadui. Kama wanayofanya hayatazuiwa . Kanisa Katoliki litaangamizwa.
 
naomba kujua uhusiano wako na Familiya ya Nyerere,naomba kujua ni kwa nini unasema Yericko Nyerere siyo mtoto wa Nyerere,naomba kujua kwa nini unaleta mambo kama hayo hapa jukwaani

uzuri umejaaaliwa ile mbaya rose ila upeo umenyimwa.
 
naomba kujua uhusiano wako na Familiya ya Nyerere,naomba kujua ni kwa nini unasema Yericko Nyerere siyo mtoto wa Nyerere,naomba kujua kwa nini unaleta mambo kama hayo hapa jukwaani

ungemtumia PM tu... mambo ya familia za watu yanakutekenya nini wewe?
 
Ninachotaka kufichua sasa,rafiki yangu,hainipi raha,mimi mwenyewe ni mkatoliki,nimelelewa kikatoliki,nilisomea upadri pia. Lakini kwangu mimi kulikuwa na maswali mengi yaliyokosa majibu. Ni baadaye tu,nilipokuwa porini afrika ndipo kweli nilimfahamu Bwana Yesu Kristu. Naongea kama mtu anayejua kuwa mkatoliki maana yake nini. Lakini lengo langu ni kusaidia na kujenga,siyo kushambulia na kurarua kitu chochote ambacho ni kizuri na sahihi. Hata kama vitu ninavyotaka kuvifichua sasa vitaleta kashfa lazima nikubaliane na maneno ya padri mwenye hekima ambaye siku za karibuoi alinishauri"ni afadhali iwepo kashfa kuliko ukweli ukandamizwe". Ukweli ukibakia umekandamizwa,rafiki zangu siku zinahesabika kwa. Kanisa. Katoliki ka R6a na kutakuwa na athira kwa Dini yote ya Ukristu.
 
Miezi miwili iliyopita m oja ya mchakato mfupi kabisa wa kumtafuta Papa uliisha katika uteuzi ambao haukutegemewa. Cardinal. Luciani wa Venice akawa John Paul I. Uteuzi wake ulipangwa bila yeye kufahamu na kundi la wabolsheviki ndani ya Vatican. Ilidhaniwa kwamba kwa vile alikuwa yuko nje kabisa ya mfumo wa utawala wa Vatican,atakuwa ndiye Papa kalagosi mzuri,rahisi kumdanganya,rahisi kumburuza. Baada ya siku chache,wakati dunia ilikuwa bado inafahamiana na huyu mtu aliyeitwa Papa anayetcabasamu ile barua ya kichungaji ya Vashinski na Wortilla ikachapishwa Poland. Lakini Papa John Pau I ilianza kuonekana kwamba hakuchaguliwa vyema na wafisadi wa kibolsheviki. Walikuwa wanashindwa katika juhudi zao za kumfanya aipinge Russia,kwa kisingizio cha kupinga ukomunisti. Badala yake alikuwa anahangaika na watu,kuwasaidia watu na kufikiria jinsi Kanisa linavyoweza kuwatumikia,pamoja na watu wa Russia. Rafiki zangu,vitu vinavyogombaniwa vina thamani kubwa,na muda ni mfupi,na matokeo kwa Wakatoliki duniani kote,na kwa John Paul I yalikuwa mabaya.
 
Back
Top Bottom