Kifo cha . John. Paul I

Nimetoka Butiama nimekuja hapa Kiabakari. Kuna misa ya mkesha. Inahusu relics za mtakatifu John Paul II the Polish Pope. Padre anayeongoza misa ni Mpolish. Inaelekea hapa hapa kanisani zipo relics za John Paul II.
 

Umesahau ulivyokuwa ukitamba humu kuwa Nyerere ni baba'ko mzazi? mpaka ukawa unajidai "ntamuuliza" dada (ukitaja jina la mtoto wa kweli wa Nyerere? Umesahau uliposema ukienda nyumbani Msasani halafu butiama utaleta ushahidi wa ile video uliyoahidi?

Tukakushikia bango mpaka Andrew Nyerere akaja kuweka mambo sawa ndiyo toka hapo ukabadili nyimbo.

cc Ritz, THE BIG SHOW
 
duuuuhh "" mkuu Palantir ndio napitia hapa " mabandiko ya huyu MTU "" aiseee...mbona dunia inatisha sasa " kama hali ndio iko Hivi ...
 
duuuuhh "" mkuu Palantir ndio napitia hapa " mabandiko ya huyu MTU "" aiseee...mbona dunia inatisha sasa " kama hali ndio iko Hivi ...
sijui kwanini nabaki kuamini ni UPS yake ndiyo ina tatizo!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…