Kifo cha kampuni ya mabasi SCANDINAVIA EXPRESS

Kwa sasa Green Star nalo wapo hoi vibaya.Waongoza kwa magari mabovu na kulaza abiria njiani.Kuna kipindi wanakosa hata gari la siku hiyo yoye wamejaa karakana kwa ubovu

Tatizo Yutong wanaendesha kama Scania 124L au 113

Pole yao.
 
outright theft, kaulize mabenki mangapi yameachiwa kilio na scandanavia, the guy just shifted the capital to other business and melted....

Habari ya mjini ndiyo hiyo, umenikumbusha rafiki yangu mmoja muitaliano alinunua hotel zbar akakopa pesa nyingi mno halafu akahamia zake kwenye kilimo akaacha hoteli linaoza!
 

Mamaaaaa... !! Kumbe ilikuwa ni ya mafisadi? Nilipata udaku kuwa presdnt beni na pm suma walikuwa na hisa pale, sijui huu uvumi ukaishia wapi?
 
Nikusaidie mwenye kampuni ya Scandinavia anaitwa Mohamed au aka more alibadilsha biashala ya mabasi na kufugua kampuni ya maroli inaitwa unifreight
 
mkuu kampuni ilianzishwa na wakubwa ili kupata pesa za kula bata na nyumba zao ndogo ss aliyepewa kusimamia akjisahau na kuanza kuingia ktk madeni ya kodi ivo kampuni ikataifishwa na wao kuchukua basi zao na kupeleka kwingne.
 
Hivi nani anakumbuka SIRI YAKO yalikuwa yanaegeshwa pale Kinondoni karibu na shule ya msingi!? Yaliishiaga wapi yale?
 
outright theft, kaulize mabenki mangapi yameachiwa kilio na scandanavia, the guy just shifted the capital to other business and melted....
Umesahau makampuni ya mafuta kama BP na wenzake!
 
Wanafanya biashara ya kusafirisha mafuta kwa malori. Kampuni inaitwa Unifreight.
 
Biashara ya mabasi huwa inaniacha na viulizo saaana!
 

Kama unakwenda Mtwara au Lindi? Una maana gani hapo!? Kwamba huko hakuna mabasi mazuri!? Naomba mwenye picha ya mabasi ya kuanzia June 2014 katika mikoa hii miwili atupie picha: Mikoa yenyewe ni Mtwara ( Mji) na Morogoro( mji). Nimeona tuchukue Moro kwa kuwa ni center ya route nyingi hivyo mwenye picha anaweza kuweka gari za mbeya,njombe, songea, mwanza au dodoma( kila mji herufi ya kwanza kubwa)

Mfano wako umeamua kupotosha kwa makusudi!
 
Actually kampuni hizi huwa hazifi Bali hukwepa kodi, na kesho yake huanzisha jina jipya, mfano Scandinavia inaitwa metro coach, japo nayo ni kama inajifia, huwa wanapewa grace period kama wakodishaji wa mahoteli.
 
Ndio maana viroba fake vimepigwa marufuku,maana weekend zinawaendea wengine vibaya.
Yaani we unaamka unachokuta usoni unajibu tu,mtajibu hadi vitu vya miaka 1998
 
Kuna pia Fresh ya Shamba, Zainabs na Royal Sumayi, sijui nazo ziliishiwa wapi masikini ya Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…