kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,517 Reaction score 7,984 Feb 23, 2015 #201 Jaman haya mabasi ndo basi tena?
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,658 Reaction score 6,700 Mar 22, 2016 #202 ukisoma threaf za zamani na sasa utagundua tofauti flani . Ndo maana wazee huwa wanatunanga kuwa elimu ilikuwa zamani na si sasa....
ukisoma threaf za zamani na sasa utagundua tofauti flani . Ndo maana wazee huwa wanatunanga kuwa elimu ilikuwa zamani na si sasa....
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,658 Reaction score 6,700 Mar 22, 2016 #203 isomeke "Thread"
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Apr 1, 2016 #204 Wanasiasa walileta siasa
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Apr 1, 2016 #205 Biashara za Tanzania mara nyingi zinashamiri sababu ya baadhi ya wahusika kuwa waahiriki wa siasa. Pale wanapokoma na kampuni zinakoma kuendelea
Biashara za Tanzania mara nyingi zinashamiri sababu ya baadhi ya wahusika kuwa waahiriki wa siasa. Pale wanapokoma na kampuni zinakoma kuendelea