Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
Lulu she' s a murder,unamuita mtoto? She is 18! Sijawah kuona upuuzi kama huu ulioandika hapa.let police finalise its work. By the way who r u? To conlude? Mnaandika upuzi upuzi tuu.nonsense!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LULU SHOULD BE HELD RESPONSIBLE, But she looks young to involve in sex at that tender age,what is the hurry for?
Lulu she' s a murder,unamuita mtoto? She is 18! Sijawah kuona upuuzi kama huu ulioandika hapa.let police finalise its work. By the way who r u? To conlude? Mnaandika upuzi upuzi tuu.nonsense!
Kwa hoja ulokuja nayo.....Yaaani hata hujataka kuushughulisha UBONGO WAKO kufikiri!!!!!!!!! we kiboko aiseeekifo cha kanumba kinauhusiano na freemason, soon itakuwa wazi.
Bwana PASCO, na kingine mie ambacho sijakielewa ni vipi mhusika mmoja tu ashikiliwe na polisi wakati na mdogo wa kanumba alikua eneo la tukio? hadi sasa ni maelezo ya mdogo wa kanumba na majirani ndo tunayoyafahamu, what about the other suspected side? Nafikiri pia intelijensia ya polisi inatia mashaka kwa kumng'ang'ania lulu na kumuacha mdogo wa kanumba aendelee kutoa yale anayoaminisha watu mpaka saiv. Nafikiri kifo cha SK ni beyond, far beyond lulu, eventhough she is implicated based on the ushahidi wa kimazingira.
Jamani kwanini tusisubiri ripoti ya daktari na maelezo yake ndiyo tujadili?
Mtaniuliza kwanini... Sababu,kwamba, hatujui kama alidondoka mwenyewe,ama alisukumwa,hapa DNA itahusika kwenye nguo za marehemu,hasa maeneo ya kifuani ama tumboni.. Na hata zikionekana,zinachunguzika kama ni zamazingira ya kusukuma ama ya kupapasa,ama vinginevyo...
Lulu ndiye anayejua huko walikokuwa walikuwa wapi na walikuwa wamekaa na watu gani .... Na anatakiwa kueleza uhusiano alio nao na Kanumba kipindi cha uhai wake.. Hii itasaidia kujua kama anamjua vizuri na kama SK alikuwa na tatizo lolote la afya...
Na itasaidia na mambo mengine.. Forensic si kazi ndogo...
Yawezekana alianza na tatizo la brain akuiwa kifuani kwa lulu na lulu akaamua mumtoa kwa mshituko
Ulicho kisema hapo juuu je Uchunguzi ulifanyika/ulifanywa kwa mtiririko huuuu hapo chini???Wanabodi,
Kwanza tuendelee kupeana pole kwa msiba wa mpendwa wetu Stephen Kanumba.
Leo nimeisikia taarifa ya awali ya polisi ikielezea mwili wa marehemu umekutwa na jeraha kichwani na kushikiliwa kwa binti Lulu mwenye umri wa miaka 18 kuisaidia polisi katika uchunguzi huo!. Taarifa ya daktari kuhusu kilichosababisha kifo bado haijatolewa!.
Hili ni jukwaa la jamii inteligence likijikita zaidi kwenye facts na sio hisia na hoja hapa sio kupeana pole za msiba wala kumtetea huyu binti Lulu ambaye anataka kibebeshwa msalaba wa kifo cha Kanumba kama mhusika mkuu wakati ukweli halisi kuna kila dalili zinazoonyesha Kifo cha Kanumba japo kimesababishwa na ajali ya kuanguka na kujigonga, kinaweza kuwa kimesababishwa na uzembe wa watu fulani na sio huyu binti Lulu!.(kwanza nilipost kule jamii inteligence ikagoma)
Hoja hii inafuatia maswali mengi bila majibu ya ni nini haswa kilichotokea hiyo jana!.
Wewe kama uu mmoja wa mashabiki wa Kanumba na mpaka sasa una uchungu mkubwa na kifo hiki, nakishauri usichangie uzi huu maana utakosa objectivity na impartiatility kutokana na huzuni.
Hoja za msingi ni hizi.
1. Ugomvi ulitokea saa 6 usiku na mpaka majirani walisikia kelele. Mwili umefikishwa hospitali ya Muhimbili saa 11 Alfajiri, nini kilitokea hapo kati?.
2. Mdogo wa marehemu aliyekuwa nyumbani wakati huo ameongea kwenye TV kuwa aliposikia ugomvi akaenda kutoka kuingilia mlango ukafungwa kwa ndani, akaendelea kusikia vishindo ambavyo na majirani walivisikia, what did he do?, au mlango ukishafungwa basi ni kujiachia tuu liwalo na liwe, hapa sio kuna uzembe fulani?!.
3. Baadae Lulu akaufungua mlango na kutoka kama alivyozaliwa na kumweleza huyo kijana Kanumba ameanguka hiyo ilikuwa ni around saa 6 usiku, huyo kijana ulikwenda chumbani na kumkuta Kanumba kama alivyozaliwa anagalagala chini huku povu likimtoka mdomoni, what did he do first?.
4. Anasema alimpigia simu daktari wake!. Hivi kweli unaitwa chumbani na kumuona mtu ameanguka anavuja damu anatapatapa, wewe utamtafuta kwanza daktari wake au kazi ya kwanza ni kumkimbiza mgonjwa hospitali ya karibu?. Pale kwa Kanumba mpaka hospitali ya Sinza Palestina ambayo ni 24/7 ni only 5 minites away!. Tukio limetokea saa 6 usiku mwili wapelekwa Muhimbili 11 alfajiri!. Kulitokea nini hapo?!. Hapo sio uzembe fulani huu?!.
5. Hivi ni kweli Kanumba alikuwa na daktari wake?. Jee alikuwa ana suffering something kiasi kwamba kuna daktari maalum ndio huwa anamhudumia hali iliyolazimisha lazima atafutwe huko aliko ndipo Kanumba apate huduma ya kwanza!. Kama tukio ni saa 6, daktari alipigiwa simu saa ngapi?, na alifika saa ngapi?, kumbukeni muda wote huo Kanumba anagalagala na kuvuja damu nyingi kumsubiria daktari wake afike?!. Huu sio uzembe fulani?.
6. Tunaelezwa daktari alipofika ndipo juhudi za kumkimbiza Muhimbili zikafuatia, huku kukipatikana tarifa za baadhi ya wasanii kufika hapo kwa Kanumba within minutes na wengine kukiri walimkuta mwili umeshaanza kuwa baridi, muda gani ulishapita toka tukio mpaka hao wasanii/majirani waliofika mwanzo and what did they do?!. Hapa kweli hakuna uzembe fulani?.
7. Tumeonyeshwa picha na TBC zikionyesha umati mkubwa wa wasanii ukiandamana kuupeleka mwili Muhimbili, ikumbukwe wakati tukio alikuwa kama alivyozaliwa ila mwili ulionekana umevishwa, hivyo emergence ya aina ile mgonjwa huwa anafunikwa tuu shuka na kuwahishwa hospitali, kupatikana muda mpaka kumvisha huu sio uzembe fulani?!.
8. Kama tukio ni la dharura tulitegemea watu wa kwanza ni majirani iweje wasanii wajazane kivile usiku huo mpaka na waandishi wa TBC?. Haiwezekani baada ya kutokea ajali hiyo ya kuanguka, badala ya kumpatia mgonjwa huduma ya kwanza ya kujaribu kuokoa maisha ya Kanumba, watu walikuwa bize kuwatafuta masuper star na waandishi wawahi tukio lile huku wengine wakiendelea kuhangaikia kuupiga picha mwili wa Kanumba licha ya kujua tayari ni dead body?!.
9. Kama hao waliofika wakanshika na kuona mwili umeanza baridi, ni muda gani daktari alifika?. Ni muda gani walijua Kanumba ameshafariki?, kama alifia nyumbani hawakujua hiyo sasa at that poit ni police case badala ya kuitana makundi ya wasanii na kuidramatise scene ya kifo cha Kanumba?!.
10. Mwisho kwa sababu ripoti ya daktari kutaja chanzo cha kifo haijatoka, naombeni tusimbebeshe mtoto Lulu msalaba wa kifo cha Kanumba!. Inawezekana ni Kanumba mwenyewe aliteleza, na hata kama ni kweli alimsukuma, kama alimsukuma in self defence, Lulu hana hatia yoyote kwa sababu kifo kitakuwa kimetokea kwa bahati mbaya bila kusudio la kutenda jinai ya mauaji!.
RIP SK The Great
Pasco.
naomba fursa!
Kifo pamoja na ajali chanzo chake kikuu ni UZEMBE, lazima uzembe ufanyike sehemu ili ajali itokee the madhara yake ni pamoja na kifo, ulemavu n.k. hoja hapa ni uzembe, kweli, hata kwa regia, mkwawa, kennedy all! uzembe, alwayz uzembe! labda tungekuwa na SI unit) tungeweza kujudge kiasi gani kinasababisha madhara ya kiwango gani!.. I support ni UZEMBE
Ila kwa huyo marehemu wetu wa sasa, uzembe unaweza kuwa umefanywa na yeye mwenyewe, huyo kigoli, kaka mtu, daktari, majirani, hata TBC!!! au wote! ila kiwango cha uzembe ndo issue. kwa kiwango gani nani kafanya nini ndo kazi ya wapelelezi wetu, ingawa nna mashaka na uwezo wao wa kuchunguza mauaji ya nyumbani! (homicide).... hata tuu violence, kwani kifani polisi ndo wanaongoza kwa kichapo kwa familia zao, kwao sio kesi!
mi namuangalia kanumba kitabia kama nilivyowahi kumuona kwenye luninga, he is like this "tabia ya mtoto wa kiume kutokuact kama mwanaume inasababisha hata matendo yako natural (BEHAVIOR) YAWE HIVYO, au labda alikuwa kalewa then akahisi anaekti anapigwa (extremities) akasababisha ugomvi kweli! kichapo kikamkuta
alishawahi kuchapwa na kabinti kengine kalikuwa kamiss! magazeti yakaandika fuul, na huenda huwa anachapwa sana tuu na kazoea! kalea uzembe
kwa faida ya wanaume wengi, tuachane na shughuli za kike, kujiremba, kubadili sauti, kudeka na mambo yasiyo na msingi imara wa kiume! hakuna sababu ya kusubiri kurekebishana, tunazidi kuwa wazembe kuchelea kuchukua hatua
10. Mwisho kwa sababu ripoti ya daktari kutaja chanzo cha kifo haijatoka, naombeni tusimbebeshe mtoto Lulu msalaba wa kifo cha Kanumba!. Inawezekana ni Kanumba mwenyewe aliteleza, na hata kama ni kweli alimsukuma, kama alimsukuma in self defence, Lulu hana hatia yoyote kwa sababu kifo kitakuwa kimetokea kwa bahati mbaya bila kusudio la kutenda jinai ya mauaji!.
Wanabodi,
Hoja za msingi ni hizi.
1. Ugomvi ulitokea saa 6 usiku na mpaka majirani walisikia kelele. Mwili umefikishwa hospitali ya Muhimbili saa 11 Alfajiri, nini kilitokea hapo kati?.
- Je Majirani nao hawkujiuliza kulikoni?Pale walipo sikia kelele na ni jirani gani alisikia kelele na je zilikuwa kelele za aina gani?
2. Mdogo wa marehemu aliyekuwa nyumbani wakati huo ameongea kwenye TV kuwa aliposikia ugomvi akaenda kutoka kuingilia mlango ukafungwa kwa ndani, akaendelea kusikia vishindo ambavyo na majirani walivisikia, what did he do?, au mlango ukishafungwa basi ni kujiachia tuu liwalo na liwe, hapa sio kuna uzembe fulani?!.
- Je mdogo wa marehemu alisikia kelele za aina gani maana mpaka alishindwa kugonga mlango kuuliza kulikonii yamkini tunge penda kujua kelele zilikuwa ni zipi maana mlango ulikuwa umegungwa
- Je hao majirani walisikia vishindo vya aina gani tupate ufafanuzi kidogo kwa hilo
- Kufungwa kwa mlango kumbuka umeuliza kelele zilikuwa ni kelele za aina ganai na huyu dogo alishindwa kuwa gongea na kama kulikuwa na kelele za kupigana au vyupa kuvunjwa then dogo angegonga mlango kufanya ishara ya kuuliza kulikoni?
3. Baadae Lulu akaufungua mlango na kutoka kama alivyozaliwa na kumweleza huyo kijana Kanumba ameanguka hiyo ilikuwa ni around saa 6 usiku, huyo kijana ulikwenda chumbani na kumkuta Kanumba kama alivyozaliwa anagalagala chini huku povu likimtoka mdomoni, what did he do first?.
- Je purukushani hizi zilichukuwa muda gani munazo zisema ni kelele? na hadi Lulu akatoka ndani Je akukuwa na ukimyaa fulani kabla ya Lulu kutoka ndani?Au kufungua Mlango?
- Je huyo bwana mdogo ni mdogo wake kanumba kweli kweli au ni mdogo wake kiundugu kivipi?
4. Anasema alimpigia simu daktari wake!. Hivi kweli unaitwa chumbani na kumuona mtu ameanguka anavuja damu anatapatapa, wewe utamtafuta kwanza daktari wake au kazi ya kwanza ni kumkimbiza mgonjwa hospitali ya karibu?. Pale kwa Kanumba mpaka hospitali ya Sinza Palestina ambayo ni 24/7 ni only 5 minites away!. Tukio limetokea saa 6 usiku mwili wapelekwa Muhimbili 11 alfajiri!. Kulitokea nini hapo?!. Hapo sio uzembe fulani huu?!.
- Sasa hapa ni akili za watu wawili Lulu na huyo mdogo wa kanumba(kwajinsi inavyo tambulika hadi sasa)
- Lulu alivyo toka chumbani kwa akili ya mtuu yeyote hata kama umestuka huwezi niambia huna namba ya Doctor yeyote yule unae mfahamu uka wasiliana nae akakupa ushauri au mtu wako wa karibu akakuambia nini cha kufanya haraka kwa nyakati kama zile
5. Hivi ni kweli Kanumba alikuwa na daktari wake?. Jee alikuwa ana suffering something kiasi kwamba kuna daktari maalum ndio huwa anamhudumia hali iliyolazimisha lazima atafutwe huko aliko ndipo Kanumba apate huduma ya kwanza!. Kama tukio ni saa 6, daktari alipigiwa simu saa ngapi?, na alifika saa ngapi?, kumbukeni muda wote huo Kanumba anagalagala na kuvuja damu nyingi kumsubiria daktari wake afike?!. Huu sio uzembe fulani?.
- Hoja hapo ya kuumwa au alikuwa na tatizo kiafya sidhaniii
- Hoja kama hoja ulivyo ijenga kuwa Doctor wake ilimchukuwa muda gani kufika eneo la tukio na je alilichukulia vipi tukio alivyo elezwa kwenye simu?
- Muda huo kanumba angalagala Lulu na Mdogo wa kanumba walikuwa wanafanya nini? Je walikuwa ni wao wawili tuu au kulikuwa na watu wengine mbali na kanumba kuwa alikuwa anagalagala chini
- Je kwa kanumba kuna mlinzi?
6. Tunaelezwa daktari alipofika ndipo juhudi za kumkimbiza Muhimbili zikafuatia, huku kukipatikana tarifa za baadhi ya wasanii kufika hapo kwa Kanumba within minutes na wengine kukiri walimkuta mwili umeshaanza kuwa baridi, muda gani ulishapita toka tukio mpaka hao wasanii/majirani waliofika mwanzo and what did they do?!. Hapa kweli hakuna uzembe fulani?.
- Na ndio maana nataka kujua je kwa kanumba kuna Mlinziiii?
- Huyu Doctor aliye pigiwa simu ni doctor anae tibu magonjwa gani haswaaaaaa?
7. Tumeonyeshwa picha na TBC zikionyesha umati mkubwa wa wasanii ukiandamana kuupeleka mwili Muhimbili, ikumbukwe wakati tukio alikuwa kama alivyozaliwa ila mwili ulionekana umevishwa, hivyo emergence ya aina ile mgonjwa huwa anafunikwa tuu shuka na kuwahishwa hospitali, kupatikana muda mpaka kumvisha huu sio uzembe fulani?!.
8. Kama tukio ni la dharura tulitegemea watu wa kwanza ni majirani iweje wasanii wajazane kivile usiku huo mpaka na waandishi wa TBC?. Haiwezekani baada ya kutokea ajali hiyo ya kuanguka, badala ya kumpatia mgonjwa huduma ya kwanza ya kujaribu kuokoa maisha ya Kanumba, watu walikuwa bize kuwatafuta masuper star na waandishi wawahi tukio lile huku wengine wakiendelea kuhangaikia kuupiga picha mwili wa Kanumba licha ya kujua tayari ni dead body?!.
- Swali langu lina rudi pale pale vilikuwa ni vishindo vya aina gani?? vilishindwa hata jirani yeyote toka na kuuliza kwa jirani mwenzi kulikoniiii hata kama ungeonekani una kisebu sebu ila kwa akili ya karibu hata kama mimi nasikia vishindo ni kwanza nisikilize kwa makini kwa sekunde kama 5 hadi kumi kijiridhisha sauti ya vishindo au kelele za aina gani. Je hata mlinzi nje hakusikia kama alikuwepo? na huyo dogo kama vishindo vilikuwa ni vikubwa sidhani kama angewza vumiria lazima tu ange uliza brooo kwema lakini mie bado na utata wa hizo kelele au vishindo vinavyosemekana vilisikika vilikuwa ni vya aina gani?
9. Kama hao waliofika wakanshika na kuona mwili umeanza baridi, ni muda gani daktari alifika?. Ni muda gani walijua Kanumba ameshafariki?, kama alifia nyumbani hawakujua hiyo sasa at that poit ni police case badala ya kuitana makundi ya wasanii na kuidramatise scene ya kifo cha Kanumba?!.
- Sasa hapo ndipo ma doctor wanaojua kuchunguza mwili 1st AID wangetuambia mwali ulipooza kwa mudagani huko nyuma kitambo
- Sasa hapo ndipo me nilikuwekea Homicide Investigation Procedures pia Police wetu walipaswa kuwahi eneo la tukio.
- Au tusema mbali na police kuja eneo la tukio basi next morning walipaswa kuwa nyumbani kwa kanumba early in the morning wakianza investigation zao. Je hilo lilitendeka?
10. Mwisho kwa sababu ripoti ya daktari kutaja chanzo cha kifo haijatoka, naombeni tusimbebeshe mtoto Lulu msalaba wa kifo cha Kanumba!. Inawezekana ni Kanumba mwenyewe aliteleza, na hata kama ni kweli alimsukuma, kama alimsukuma in self defence, Lulu hana hatia yoyote kwa sababu kifo kitakuwa kimetokea kwa bahati mbaya bila kusudio la kutenda jinai ya mauaji!.
- Mkuu kumbuka mpaka leo hiii Report ya Madoctor kwangu mie ilivyo someka kwenye vyombo vya habari yet ni nusu report haija beba majibu au madoctor waniambia wao wamejibu sababu ya kifo bi kutupa kilicho letea brain Concussion kwa kanumba
- Je madocto walitufanyia scanning test ya mwili wa marehemu na Lulu hata kama alikuwa chini ya ulinzi yetu police wa kike walipaswa kwenda ku mfanyia uchunguzi huko aliko kuwa.
- Je eneo la tukio lili lindwa kusije potea kwa vithibitisho (Evidence) siku ya tukio?
RIP SK The Great
Pasco.
kilichomwuua taarifa nilizozipata ni kiharusi..........Lulu is innocent, too innocent for our liking....................we would like to hold someone responsible but in this God has spoken in clear and unequivocal voice...........